Habari zenu wakuu. Nina mpango wa kujenga nyumba eneo la MATARAWE NJOMBE MJINI. Nyumba ni ya vyumba 3 na sebule. Hivyo naomba kufahamu bei ya mabati ya MSAUZI. Natanguliza shukurani.
Wakuu kuna mtu anauza eneo lake,,lina nyumba mbili,,ya mbele ya room tatu imefikia kwenye linta-ya nyuma vyumba viwili na sebule kuna umeme na maji anakaa mwenyewe,,
Maeneo meko ya tegeta mbuyuni...
Habari zenu wakuu?
Kwa wale wapenzi wa riwaya mbalimbali hususani vye marehemu Bne Mtobwa sasa vinapatikana. Vitabu hivyo ni pamoja na mfululizo wa vitabu vya Joram Kiango na vitabu vingine vya...
Christmas[emoji319][emoji318][emoji348][emoji300] Ofaa
Karibu AUTOCOM JAPAN UAGIZE GARI
|Gharama nafuu | Ubora zaidi •malipo kwa awamu mbili•
Toyota Probox
Year--2006
Engine--1490cc...
Kiwanja hiki kipo Toangoma njia ya kutoka kongowe kwenda Kigamboni. Stend ya kwa Yatima ilipo funcity.
Kutoka barabara kuu mpaka kilipo kiwanja ni kilometa 1.3
Njia za mitaa zimezingatia kuweka...
Tunapangisha vyumba, nyumba, na apartments Katika maeneo yafuatayo ya jiji la Dar es Salaam.
Mwenge
Sinza
Changanyikeni
Mawasiliano
Makumbusho
Mbezi
Africansana
Bunju
Makongo
Ubungo...
AGIZA GARI KWA GHARAMA NAFUU #AUTOCOMJAPAN
SUBARU IMPREZA | 2007
CC 1490 | 2WD
Other option--RS FOG
•••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••
Gharama kamili mpaka usajili--11mil
Kisaka...
Wakuu naombeni kufahamishwa kuhusu tin number mm nataka kufungua biashara na sina tin number je nikienda tra kufatilia sitochajiwa hela?au kukadiriwa kabla sijaanza biashara?ahsanteni
Nina aina 2
1. Hawa weupe ni
Spitz puppies
Dume wa 3,
Wana miezi 1.5
Kila mmoja nauza 200,000/=
2. German Shepherd Cross
Wana miezi 2,
Dume 1 na jike 2,
Nauza 300,000/=
Wapo Dar,
0744898813
Karibuni.
Habari wakuu, nimekua mpenzi sana wa kufuga mbwa kwa muda mrefu Sasa na mbwa wangu amebahatika kuzaa watoto wanne. Kinachonitatiza ni sijajua hii ni breed gani ya mbwa maana hata nikiulizwa...
Natafuta kiwanja cha kujenga resthouse Au hostel ya biashara chenye square meter kati ya 600 mq 2000.
Kiwanja kiwe Dodoma, mwanza, bukoba, dar es salaam.nitumie hapa au by inbox or by email...
Nauza kiwanja mbezi mwisho. Kipo karibu na old morogoro road . Kina sqm 1280. kina hati miliki. Kipo eneo la biashara. Unaw eza kujenga soko na fremu na raman ipo kwa atakaeipenda. maji, umeme...
Habari ;
Nimekuwa nikikumia App ya ZeMGame kwa miezi mitatu sasa, Katika hii miezi mitatu idadi ya wateja katika baa yangu imeongezeka kwa asilimia 93%. Hii ni kutokana na kuwa ZeMGame...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.