Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Iaptop car adaptor from UK for sale bei 50000 tu,PM for details Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Salaam, Nyumba inapatikana Ubungo Riverside. Ipo karibu kabisa na barabara ya Mandela ( kama meter 150) Maelezo husika: Nyumba ina vyumba vitatu (ikiwemo master), sitting room, dinning room...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Location - mita 500 kutoka chuo cha mipango Eneo - mita 45 ×mita 35 Bei ni milioni 13 Maongezi -PM Dalali hausiki.
0 Reactions
2 Replies
800 Views
Habari...husika na kichwa cha habari hapo juu nauza story za vitabu kwa bei nafuu
0 Reactions
2 Replies
725 Views
Mimi fundi umeme wa nyumba mwenye uzoefu mkubwa....hii ni offa kwa kipindi hiki...Nafanya wiringi za nyumba aina zote..sehemu yoyote hapa TANZANIA.kwa bei ya maelewano..nitakusikiliza...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Za mchana wapendwa. Nilitaka kujua kama kuna anayejua kampuni inayotengeneza beverage plastics za kwa jumla. . Kama inawezekana, wawe wanafanya custom design (tofauti na zile za mtaani za juice...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Jamani naomba kujulishwa mahala penye soko zuri la Dagaa wa nyama wale wa baharini wanachemshwa kisha wakakaushwa vizuri,karibu +255719142151
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Kibanda kizuri kwa ajili ya biashara kinauzwa.. Kipo mbezi mwisho! Ni kikubwa na kina nafasi ya kutosha kwa ajili ya biashara yoyote! Anaekihitaji anitext via
0 Reactions
22 Replies
2K Views
DESKTOP 1.HDD 500gb+ 2. Ram 4gb+ 3. Icore i3 or i5 4. Monitor 19 inch+ LAP TOP hdd 500 ram 4 gb km unayo ni PM nipo Dsm temeke
0 Reactions
2 Replies
560 Views
Habari za leo wadau. Nauza shamba langu Fukayosi, Bagamoyo. Shamba lina hati na liko umbali wa takribani 2km kutoka barabara ya Lami ielekeayo Msata. Bei maelewano
0 Reactions
3 Replies
891 Views
Kwa wanaohitaji kutengenezewa mchanganuo wa mahesabu (Business plan). Natengeneza michanganuo ya mahesabu ya uhakika (bankable) kwa bei ya ushindani. Nina Bcomm (Acctg), CPA na TIOB pamoja na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Offer yangu ni mil 8 hadi 9. Gari uwe Dar es salaam.
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Habari wakuu....... wewe unahitaji kulima na huna shamba ..? usipate tabu. .. kuna shamba linakodishwa kwa bei y'a tsh.40,000# kwa ekari.. Shamba liko Kabuku... bodaboda toka kabuku mjini mpaka...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Deep Friyer single Plat yake ina ujazo wa lita 6. Inatumia Umeme Bei Tsh 160000 tu Free Delivery in Dar Whatsapp/call 0672493910
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wakuu, kwa wale wenye ufahamu kuhusu ukweli wa bei harisi wa haya magari tunayoona yanatangazwa humu jf. Mfano kuna subaru moja ya mwaka 2004 bei yake imewekwa $160 yaani kama laki tatu na nusu...
0 Reactions
8 Replies
16K Views
Songea mbinga madaba namtumbo kaributu kuhudumie spare bora za pikipiki
0 Reactions
1 Replies
791 Views
Habar wanajf. Tunawatangazia tuition wazazi na walezi mlete mwanao st peter education centre ambao IPo bunju A usalama barabara ya kuelekea kanisa ya efhata ministry Masoma yanayofundisha kwenye...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nyumba ipo Tegeta namanga jirani kabisa na kibo complex, mita 400 kutoka Bagamoyo Road Vyumba 4 na kati ya hivyo 3 ni self Ni family house Size plot 550 sqm Hati ipo Bei Tsh 350m Maongezi yapo...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Greetings 2u my dear Jf members. Kama kuna mtu anaweza akanisaidia soko la viazi lishe hapa Dar-es-salaam naomba unisaidie plz. Nataka nijue soko lake kabla sijaingia shambani coz kna mtu...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Back
Top Bottom