Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Kwa anaehitaji kuandikiwa scripts,story za vitabu pamoja na nyimbo za aina zote ani pm please...asanteni
0 Reactions
4 Replies
967 Views
Natafta nyumba ya kupanga mtaa wowote Dodoma,vyumba viwili sebule na jiko,bajeti yangu 250000 kwa mwezi..!!
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari za kutwa nzima wadau wa jukwaa biashara Nimefanya kilimo cha biashara strawberry Sasa wakuu natafuta soko kama kuna anaejua kuhusu soko la strawberry
1 Reactions
5 Replies
4K Views
Toyota Carina TI ya mwaka 2000 engine 5A ina cc 1490 imetembea kilomita 100,100 gari ni Automatic fuel petrol linauzwa milion 7 na laki 3 Geri ipo kwenye hali nzuri kabisa linapatikana sinza...
0 Reactions
18 Replies
4K Views
Nauza PIKIPIKI aina ya boxer imetumika miezi 10 na uko katika hari nzuri kabisa na haina tatizo lolote na kila kitu kipo amna magumashi inapatikana kimara baruti bei 950,000 laki Tisa na nusu cont...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Motorola Walkie talkie zinauzwa ziko mbili model:Motorola TLKR T41 Range:4 kilometers Accesory:belt straps Inafaa kwa wafanyabiashara wenye magodown,wakandarasi,kwaajili ya camping na...
0 Reactions
5 Replies
677 Views
Simu yangu imepasuka mfuniko wake kwa anayejua inapatikana wapi aje PM tuyajenge
0 Reactions
5 Replies
539 Views
Gari iko vizuri. Kila kitu kiko sawa. Imetembea kilomita 86,000. Injini ya 2AZ ya VVTi yenye Cc 2360 ambayo ni ndogo na ulaji wa mafuta wa wastani. Kwa mawasiliano piga 0754455865. Gari ipo...
0 Reactions
7 Replies
696 Views
Natafuta fundi pikipiki na pancha, aliye na uzoefu na anaishi Arusha mjini, wasliliana nami kwa no 0713163770
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari zenu wadau, Natafuta spoiler ya Starlet Glanza...ile inayokaaga kwenye mlango wa nyuma...bajeti yangu Laki 2. ila inaweza kuongezeka kutegemea na hali ya spoiler yenyewe.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wapi nitapa vifaa vya kilimo na umwagiliaji. Pembejeo machine za kuvuta maji na washauri wazuri kwenye kilimo cha umwagiliaji. Maana naona biashara sasa inabana sana. Natanguliza shukurani.kwenu...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Wakuu, niko kwenye steji ya uwekaji madirisha. Nahitaji vifaa kwa ajili ya kutengeneza madirisha hayo kwa yeyote mwenye hardware na bei nzuri. Karibuni wakuu.
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Ninahitaji simu hiyo ,offer yangu ni laki3 cash...npo iringa mjini kabla ya tar.15!mwenye nayo tuwasiliane 0629318661
1 Reactions
0 Replies
738 Views
Habari zenu....Nilikuwa naomba kujua bei ya jumla ya sabuni za Jamaa, pia kwa hapa Dar zinauzwa sehemu gani?
0 Reactions
2 Replies
6K Views
Habari za jioni wadau,nauza Frege,jiko kubwa la gas,mtungi wa O-gas 15kg Display ya chips,meza tatu za kucomelea,meza 1 ya mable, jiko kubwa la mkaa,frypan 2 (kubwa na ndogo) Kikaangia cha chapati...
0 Reactions
18 Replies
4K Views
Habari wapendwa hususan watumiaji wa lipustic kama za aina hii ni bei gani??? Msaada tafadhali
1 Reactions
11 Replies
2K Views
post is no longer available
0 Reactions
262 Replies
44K Views
Habarini za mda huu wakuu kama unahitaji gari mpya hapa ndio mahala pake. ofisi zetu zipo quality center kwa maswali na maulizo tafadhali wasiliana nami kwa 0715841834 mohammed karibuni sana...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Ni mpya Bei yake Tsh 295000 Warranty 1 year
0 Reactions
0 Replies
524 Views
Upo ununio na umefec lami, size plot 3018 sqm Hati ipo Bei 270m Panafaa Sheli, Apartment, hotel, supermarket,nyumba za Ibada, ukumbi, na makazi pia..nk Maongezi zaidi 0756060183
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom