Hi all,
Bidhaa hizi hapa chini original, zinauzwa kwa bei poa kabisa, Jipatia sasa kwa kutunizia vitu vyako:-
Flashdisk (SANDISK)--16GB = 20,000/=
MicroSD (Memory card) ----16GB = 23,000/=...
Habari wakuu, nahitaji kufanya booking ya fastjet au kampuni yoyote nafuu kwa safari ya April mwakani Mungu akipenda from dar to Mbeya.
Nataka ni book mapema nilisikia ukibook mapema zaidi garama...
Habari ndugu msanii, manager, au mzalishaji wa mziki au hata mwenye tangazo la biashara hapa Tanzania. Nnayo furaha kubwa kukukaribisha kutangaza mziki wako na sisi. Kutumia blog pedwa ya muziki...
Habari wadau
Uzi maalumu kwaajili ya kuniungisha Nauza kuku wa kienyeji wakubwa ambao wanataga
Bei ya Kuku1 ni 16000/=
Napatikana msasani dar es salaam
Na pia ofisin kwangu Kimara Temboni
Hapa...
Nyumba inapatikana Tabata Segerea (karibu na stand)
Umbali kutoka lami ni meter 150 na dakika 3-5 mpaka stand ya Segerea.
Nyumba ni mpya kabisa.
Nyumba ni ghorofa moja
1. UPANDE WA CHINI
kuna...
Habari wakuu...? Katika kupita pita instagram, nimekutana na jamaa wapo zanzibar... wanauza samsung tv curved 55" kwa laki 6 na usafir elf 30... jumla 630k.
Nipo najifikiria kuichukua... lakin kwa...
Karibu nikuhudumie kiroho safi.
Dondokea chaguo Lako then Weka order sasa, hasa katika msimu huu wa skukuu.
Bei ni laki 1 na themanini kwa laki 1 na hamsini
Ninadeliver popote ulipo kwa...
Offer offer offer!!!!!
Ni offer ya msimu wa sikukuu....
Pata Dagaa from Zanzibar ni wazuri wanajitosheleza kwa famili maana wanavimba...... Wanapatikana kwa jumla na rejareja.....
Bei ya awali...
Wakuu mambo niaje?
Kama kichwa cha uzi kinavyojieleza inahitajika subwoofer used iwe na Bluetooth,SD card na FM.
mwenye nalo tukutane PM au comment kwenye uzi nione
Napatikana Dar
offer yangu 70K.
Wakuu habari zenu nahitaji gari yoyote ndogo kwa 3m siangalii namba wala nini, naangalia ubora wa body na injini tu hata kama ni namba a nitafute cc ianzie 650 hadi 1300, suzuki kei, suzuki swift...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.