Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Habari! Wakuu kama hapo juu panavyojieleza Shida yangu kwa mwenye uzoefu juu ya kutuma mzigo toka Tz kwenda nchini Zimbabwe mfano pair 10 za masai sandals. Je? Ni njia gani sahihi kwa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kuna tangazo jipya la tigo linahamasisha watu kutumia tiGOpesa kuwa kuna shindano unakuwa umejiunga automatic,sasa JOTI kavaa wigi lina mchanganyiko wa rangi zile za Rainbow,anajua kuwa zile ni...
4 Reactions
26 Replies
5K Views
Kama wewe ni mpenzi wa hadithi na simulizi za kusisimua kutoka kwa wa andishi wa ukweli kama Hussein Molito, Hazrat hussein, Yona Fundi, Emmy John Pearson, Richard Mwambe, Hassan Mambosasa, Elias...
0 Reactions
8 Replies
114K Views
nimepata
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari, nahitaji mtu wa kunifundisha kusuka, nna salon yangu Lakini sijui kusuka naweza kuset, kutengeneza wigs kushonea style zote,kubond, kupiga pasi nk. Yoyote anaejua kusuka nayupo tayari...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Nahitaji king'amuzi cha Zuku cha zamani used chenye FTA channels. Nipigie 0715785811/0754785811
0 Reactions
2 Replies
586 Views
habari wadau....ninauza nazi konki kabisa kutoka lindi kwa bei ya jumla.Nazi kubwa nitakuuzia kwa 750 na za saizi ya kati kwa 600.Nazi ziko nyingi na ziko vizuri vimekomaa na kukauka.Kwa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mahali:kiluvya karibu na kwa Sumaye Bei:Million 7 Size ya kiwanja:mita za mraba(sqm) 600 Kiwanja kinafikika vizuri barabara iko vizuri kimepimwa Mawasiliano kwa wanaohitaji Ur welcome
0 Reactions
0 Replies
554 Views
Halo ninashida naomba msaada. Nahitaji mashine kama hii hapa chini ya kusagia matunda juice. Niwapi naweza kuipata hapa dar na ni bei gani. MSAADA WENU TAFADHALI.
0 Reactions
0 Replies
493 Views
Dar es salaam Rental Agency (DRA) tunapangisha vyumba, nyumba na apartments, kwenye maeneo ya fuatayo ya jiji la Dar es salaam. Mwenge Mawasiliano Makumbusho Survey Mikocheni Ubungo Kijitonyama...
1 Reactions
0 Replies
767 Views
Kwa mahitaji ya Sungura wa kisasa na wa kienyeji wakubwa na wadogo wanapatikana kwa bei nafuu. Wanapatikana KIVULE Dar es salaam Mawasiliano: 0756143468/ 0686643616 BEI KUANZIA ELFU 30,000...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Habari zenu wakuu Nauza mikoba ya wadada na wakina mama jumla na leja leja aina tofauti tofauti Karibuni Mawasiliono 0765650028 whatsaap 0716973403 call Nipo dar es salaam
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Nafikiria kumiliki kiwanja kwa ajili ya ujenzi wa nyumba ya kuishi je upatikanaji wake upoje? bei zinafikia mpaka sh ngapi hasa maeneo mazuri ya watu wenye kipato cha kati? kuna mtu alinidokezea...
1 Reactions
9 Replies
4K Views
Anayejua inapouzwa Miche ya kisasa ya miembe na michungwa anijuze mahali ilipo ndani ya manispaa ya Temeke
0 Reactions
0 Replies
603 Views
natafuta eneo la kuweka mgahawa kwa dar mgahawa huo unasifa zifuatazo utakua unatoa chakula classic ila bei affordable sifa za eneo ambalo nalitaka 1.kuwe na parking 2.pawe pa kubwa usawa wa frem...
0 Reactions
2 Replies
870 Views
Naomba kujua bei ya mitumba ya kina Dada ...suruali,blaus na vikoti na vinapatikana wapi kwa DSM,nahitaji haraka!
0 Reactions
6 Replies
5K Views
Ipo kwenye hali nzuri Bei 550000
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Nahitaji decoder ya Zuku ile model ya mwanzo yenye FTA channels, hata ukiwa used ni powa tu. Nipigie 0715785811
0 Reactions
3 Replies
758 Views
Kitanda na godoro vinauzwa ,tano kwa sita... Nipo Ubungo External Bei vyote 280K Ukitaka kimoja maelewano yapo pia Simu: 0675 425 148
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Nahitaji Crown Athlete namba D ya kuanzia mwaka 2005. Pesa ya kununua/kulipia ninayo. Bajeti yangu ni Tzs milioni 7.8.muda wowote wasiliana nami Whatsap 0738439308... Au nitumie ujumbe a.k.a niPm
0 Reactions
21 Replies
4K Views
Back
Top Bottom