Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
nahitaji kwa naeuza kitanda 5*6 aniuzie kiwe katika hali nzuuri ofa yangu ni 200000 kwa kuanzia.
0 Reactions
4 Replies
768 Views
Natafuta mbegu za miti ya Ashok, niko Dar. Mwenye nazo au mwenye taarifa naomba anichek Whatsapp 0763 788000
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kitanda kinauzwa Bei laki moja na 30 Kimetumika miezi 6 tu! Nicheki 0762 753140 Note: kitanda tu bila godoro
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Habari wadau nyumba inauzwa ipo tangibovu, vyumba vitatu vya kulala viwili ni master, sebule, jiko na dining ipo sehemu nzuri gari inafika maji, umeme vipo mwenyewe anakaa hapo kwenye nyumba haina...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Heshima yenu wadau. Nina uhitaji wa haraka wa PlayStation 2. Iwe used au mwenye duka ukinionea imani itapendeza pia. Iwe fat. Iwe na pads zaidi ya moja. Iwe na AV Cable na Power Cable. Iwe...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
wakuu naomba anayefahamu wapi naweza kupata whey protein powder hapa mwanza anielekeze.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kwema humu ndani. Jana nimepost thread ya kuuza kiwanja lakini sijapata mrejesho wowote tu sio comments wala nini.Sasa ndio kusema vyuma vimebana sana au watu bado wanausoma mchezo? Regards.
0 Reactions
4 Replies
738 Views
Nina wasalimu wadau wote mliko humu. Nina tafuta chumba cha kuishi ,maeneo ya ubungo mawasiliano . ninataka single room , kiwe self-contain , dirisha aluminium ,na kiwe ndani ya fence , bae kisiwe...
0 Reactions
3 Replies
628 Views
Toyota Spacio|2001 cc1490 | 2wd Mileage-78,000km Other option-NV B-MONITOR •••••••••••••••••••••••••••••••••••••• Bei-11mil Kisaka[emoji594]: [emoji338][emoji336]0715558258
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Wakuu nauza Suzuki escudo ya mwaka 1995, cc 1500. Imetembea km 145000, bei inaanza 7.5 ila maongezi yapo. IPO mbezi mwisho ya kimara anayehitaji anipm.
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Tambaza auction Mart and general broker tukiwa Kama mawakala wa ukusanyaji wa madeni sugu ya benki ya posta tunatangaza kuuza nyumba ya mdaiwa iliyopo mbezi beach. Kwa maelezo zaidi kuhusu nyumba...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
MEZA ILISHAPATIKANA MODERATORS: NAOMBA MFUTE UZI HUU Habari za muda huu wadau wa biashara! Nahitaji meza ya ofisini (Chinese type) sio mbaya lakini iwe executive. Ofa: Tsh 300,000 naweza...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari wanajamii forum naitwa Leonard ni Recovery officer wa Tambaza Auction Mart, kutokana na kushindwa kulipa deni la mkopo aliochukua benki ya Tanzania Postal Bank, Kampuni ya Tambaza Auction...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Nokia 6 Dual sim Display 5'5 | ram 4gb Network 4g | Storage 32gb Camera 16Mp LED Flash | selfie 8Mp Fingerprint sensor | slim phone Full body aluminum Price 350k
0 Reactions
2 Replies
952 Views
Habari wandugu, nahitaji king'amuzi cha startimes cha dishi dau langu 70,000/=. Pia smartphone aina ya Tecno camon x with dau nililonalo 180,000/= Kwa Mawasiliano 0676994746. Nipo Morogoro kwa sasa.
0 Reactions
8 Replies
1K Views
nahitaji hawa dagaa bei ya jumla kwa mwenye nao hawa dagaa au kufahamu wanakopatikana naomba ushirikiano nilikuw nauza wale wakukaanga ila soko limeamia huku tena
0 Reactions
10 Replies
3K Views
cup 20 bu
0 Reactions
3 Replies
6K Views
Nyumba ipo peke yake kwenye uzio, ina eneo kubwa na bustani! Nyumba ina vyumba vitatu, kimoja ni master, nina, sifa zake ni nyumba za kisasa, waweza ona picha! mazingira ni safi na maji ya...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
USING'OE JINO TENA ..call/WhatsApp 0758464842..Walioko mikoani tunatuma uwaminifu ni uwauhakika EBU JIULIZE HAYA MASWALI: 1. Kwa nini meno yanakuuma wakati mwanzo yalikuwa hayakuumi? 2. Kwa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari wadau wa MM, Nauza D-Link Switch Kama zinavyoonekana kwenye picha chini,zipo mbili. Price:85,000/= Kila moja.
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Back
Top Bottom