Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

JF Prefixes:

habari wakuu naitaji kiwanja cha kununua maeneo ya kiluvya, kibamba, kimara, hata gobaau madale ndani ndani huko mashart ya kiwanja 1. kiwanja kiwe kinamilikiwa na mwenye kiwanja kihalali. 2...
6 Reactions
28 Replies
748 Views
Compressor inauzwa, Bei ni 600,000, kampuni ya Australia (PILOT) Piga simu: 0697175082-serious buyers only.
1 Reactions
0 Replies
59 Views
SMART LOCK. Vitasa hivi ni matokeo ya ukuaji WA TEKNOLOJIA ikapelekea kutengenezwa Kwa vitasa vya milango vinavyo tumia mfumo maalum ili kufungua( password,finger,card na app ya simu). VITASA hivi...
5 Reactions
29 Replies
955 Views
Nani Mwingine Anahitaji Jiko la Kisasa kwa Mahitaji Makubwa ya Kupika?" Je ulikuwa unatafuta jiko kwa mahitaji makubwa ya kupika? Kampuni ya jiko bomba sasa wamekuja na suluhu la majiko ya...
0 Reactions
0 Replies
64 Views
Habari . Tunauza Container za ft20 na ft40 ambazo zote zipo katika hali nzuri.. Tuna container za ft20 na ft40 Zipo Kwa Grade kuna Grade A Grade B...
2 Reactions
48 Replies
799 Views
Wewe ni Mkazi wa Dar es Salaam na unahitaji Simu Kali kwa Gharama Nafuu? Huitaji kuhangaika mambo yawe mengi tucheki moja kwa moja dukani. MZIGO NI MPYA & GENUINE Pia tunafanya huduma zote ya 🔝...
17 Reactions
339 Replies
15K Views
  • Poll Poll
Mitsubishi Canter (EHP) Tani 2.5 Inauzwa TZS. 35m . Full AC 2830cc Manual Diesel Gari ni mpyaaa . Bei: TZS. 35m . 0717 650800
2 Reactions
48 Replies
1K Views
Tunafunga electric fence ktk nyumba binafsi,hoteli,viwanda,migodi nk.... Fensi hii ya umeme inatumia machine maalum kupeleka umeme ktk fensi. Machine hiyo hutunza umeme ili endapo umeme...
0 Reactions
0 Replies
71 Views
KWA NYUMBA ZA KUPANGISHA/APARTMENT. 📍Hii ni aina mpya ya teknolojia inayotumika ktk ku-control VITASA vya milango vifanye Kazi ktk muda ambao Kodi ya nyumba imelipwa iwe miezi3,miezi6 au mwaka...
0 Reactions
20 Replies
484 Views
Goba kulangwa surveyed plots for sale 1.5 km.for main road 50000tsh per square meter Kuwahi kwako ndio kupata Viwanja vinaanzia square meters 400 mpaka 2000 Mradi huu vimebaki vichache...
0 Reactions
1 Replies
100 Views
Habari, Karibu ujipatie matairi ya aina mbalimbali na size tofauti za brands zote. Tunauza matairi ya magari makubwa na madogo. Bei zetu ni nafuu sana mikoani tunatuma Dar es salaam tunafanya...
0 Reactions
0 Replies
49 Views
Apartment for Sale. Location: Msasani, kimweri road. Features: It's in 5th and 7th floors, 3 Bedrooms, Un-furnished, Kitchen, Dining, Sea View, Secured parking. Lift available, automatic...
1 Reactions
10 Replies
257 Views
🏮HP Probook 430 G7 core i5 -10th gen ⚡Intel(R) Core(TM) i5-10210U ⚡CPU @ 2.10GHz(10th gen) ⚡8GB DDR 4 RAM ⚡256GB Solid State Drive ⚡Intel(R) UHD Graphics ⚡13.3 inches FHD Anti-Glare...
0 Reactions
2 Replies
86 Views
GIANTS: Be that top 1% NAKALA YA KITABU HIKI YAPATIKANA KWA 9,000 TU kwa Hardcopy na kipo kwa lugha ya kiingereza. 0628556739 piga au tuma messeji Be that top 1% -majitu yenye akili na nguvu...
2 Reactions
2 Replies
669 Views
Karibuni sana nauza viatu vya kikikee,handbags....wallet,nai nai na pochi za.mtumbaaq grade one.tunapatikana mkwajuni dar es salaam.mkoani pia tuna tumaa
3 Reactions
5 Replies
136 Views
Viwanja vipo Vingi ukubwa tofautitofauti. 400 Sqm - Tshs 6.5 Milioni Contact _ 0716442950 | 0687614981
0 Reactions
15 Replies
358 Views
Wakuu umofia kwenu. Jamani natafuta Toyo kwa ajili ya kusambaza bidhaa, iwe mpya au used kwa ajili ya kukodi au rental purchase, tutakubaliana kwenye mkataba. Kama ana mtu wake anaemuamini...
3 Reactions
10 Replies
156 Views
Habari! Kuna Youtube Chaneli inauzwa. Inasubscribe 14700, ipo kwenye malipo na imetoa pesa mara 3 hadi sasa. Bei yake ni 3,300,000. Kama unahitaji basi Unaweza nicheki PM kwa mawasiliano zaidi...
0 Reactions
1 Replies
72 Views
BANDA LA BIASHARA UKUBWA 6×6 BEI LAKI 6 TU MAWASILIANO _ 0687614981 LOCATION _ MBEZIBEACH
0 Reactions
1 Replies
79 Views
Habari maboss. Hiki kiwanja kipo Mbezi Beach Tangi Bovu. Kutoka eneo la kiwanja hadi barabara kuu ya bagamoyo Road ni umbali wa Mita 200 Kiwanja hiki kilikuwa ni kiwanda cha mkonge na bado kina...
2 Reactions
25 Replies
549 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…