Wanabaraza naomba mnitoe tongo tongo TGS D (Tanzania Gov. Scale D) ni shilingi ngapi kwa sasa? Nataka kuachia tawi Private Sector niende huko lakini sijui kukoje...
==============
July 2014...
Salaam!
Ni muda sasa humu Jukwaani kumekuwa na mabandiko ya watu mbalimbali wakiomba kazi, zile za ujuzi mahususi na zile za jumla.
Baadhi ya wanaoandika wamekuwa wakitaja sifa zao, wengine...
Wewe ni mfanyakazi wa Serikali, Kada ya Kilimo (Afisa Mifugo, Afisa Kilimo, Bwana Nyuki n.k) na unahitaji mtu wa kubadilishana naye kituo cha kazi?
Kutokana na wengi kuweka maombi ya watu wa...
Habari zenu wana-JF?
Naomba msaada wa jinsi ya kuandaa CV yangu..
Mie ni mwanafunzi wa mwaka wa mwisho Computer science, nataka kuandaa CV yangu vizuri.
Shukrani!
Namna ya kuandika CV...
Mazoezi ndo chakula changu nina piga push 500 kwa siku, nina mafunzo ya boxing, muyai thai, wing chun, taikondo.
Nikiona makamanda wetu pale taifa kwenye maonyesho natamani na mm pain iwe my...
Wakuu mi ni Jobless, nina miaka 29 elimu yangu ni Diploma ya Information Technology, ila sijafanikiwa kupata kazi mpaka leo mtaani kugumu.
Nipo tayari kufanya kazi yoyote halali hata ikawa ya...
Hii nchi ina vituko sana.
Kuna wageni kutoka marekani wametembelea Tanzania kujifunza mambo flani flani,boss wangu akaniteua mimi na wenzangu wawili tuwaongoze kwenye shughuli zao zilizowaleta...
Wazee, mwenye lonja ya lini wajuba wanatoa majina/kupiga simu ya watakaoitwa kwenye usaili awajuze wadau, watu alili zao hazitaki kufanya kazi nyingine zaidi ya kuwaza Depo tu.
NB: Depo ya...
Kuna jamaa yangu ameomba uhamisho wa kubadirishana kupitia kwenye mfumo wa ESS toka mwaka jana mwezi wa nne ila cha kushangaza hadi sasa status inasoma TAMISEMI na hakuna jibu na hajui ni lini...
Habari za muda huu,
Nisikuchoshe sana, huu uzi ni kwa ajili ya wapambanaji wote.. michongo hii inapatikana zanzibar (Unguja).
HIRING A RECEPTIONIST AT ZURI ZANZIBAR 🛎️
We are seeking a...
Habarini Wakuu!!!!!!
Kama mlivyoona kwenye mitandao ya kijamii. Mamlaka ya Mapato nchini Tanzania wametoa fursa za ajira kwa vijana wa kitanzania.
Fursa ni nyingi kweli na wamegusa fani nyingi...
Habari gani wakuu bila kupoteza muda niingie kwenye mada
Jamani kwa yoyote mwenye connection na kampuni za ulinzi zinazolipa kwa wakati Zanzibar msaada wako unahitajika hapa tujuze tafadhali na...
Habari viongozi...nilikua naomba ushauri kati ya bank position ya marketting ambayo sijasomea na law firm position ya administrative officer wapi penye manufaa ukifanya kazi interms of career...
Leo, Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Yussuf Mwenda, ametangaza kuwa waombaji 135,027 wamejitokeza kuomba nafasi za kazi 1,596 zilizotangazwa na mamlaka hiyo.
Nafasi hizi za...
Wakuu naomba mnisaidie sehemu za kupata field ya mtu aliesomea kozi ya International Relations and Diplomacy, kwasababu nahangaika Hadi now sijapata field, yaani duuuuh!!!! 🤔
0787044620 my number
Habari za siku wakuu,
Naomba aliewahi kufanya online interview za utumishi anipe mwongozo namna ambavyo inakuwa kwenye upande wa format, je maswali ni ya kuchagua? Na yanakuwa mangapi?
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 25. Mkazi wa Kigamboni. Nina elimu ya astashahada katika fani ya manunuzi yaani [ procurement, logistics and supply chain management]
Kutokana na changamoto za...
NATAFUTA KIBARUA NDUGU ZANGU
Mimi Ni kijana (me), mkazi wa TABATA KINYEREZI. Nina elimu ya kidato cha nne na ninategemewa na familia yangu—mke na watoto wawili. Kutokana na changamoto za maisha...
Natafuta Mwalimu wa Graphic Design
🔹 Sifa: Awe mhitimu wa chuo
🔹 Mshahara: Makubaliano
🔹 Mahali: Nyumbani kwangu (Dar es Salaam)
🔹 Ratiba: Kila Jumapili, kuanzia saa 4 asubuhi hadi saa 4 usiku
🔹...
WAOMBAJI - 135,027
Kwa makadirio kuna wazanzibari 3000, waliobaki wabara 132,027
NAFASI - 1,596
20 % kwa Wazanzibar - 319
80 % kwa Bara - 1,277
CHANCE YA KUPATA KAZI
Wazanzibari - 10 kwa...