Hello wana JF .
Unakuta umesoma kozi ambazo either ulijikuta tu comby imebalance au kwa kua zilikua na priority ya mkopo lakini hazikua chaguo lako.
Baada ya kuhitimu ukaingia kitaa ukakuta...
Msaada wadau maaana sielewi ni guse wapi navurugwa tu hapa mwenye idea jamani naomba masaada maeneo ya kugusa ili nisipishane na keki ya TAIFA hii TRA huko
Mwananchi Communications Limited (MCL) Job Listing
Company Overview:
Mwananchi Communications Limited (MCL), a subsidiary of Nation Media Group (NMG), is Tanzania’s largest independent news...
Job Listing: Senior Reporter – Mwananchi (1 Post)
Hiring Organization: Mwananchi Communications Limited (MCL), a subsidiary of Nation Media Group (NMG)
Location: Tanzania
About Mwananchi...
Alistair Group is one of East and Southern Africa’s fastest growing service companies, providing a variety of self-delivered logistics solutions across several geographies, aimed with the vision...
Call for 3-Month Internship Vacancies: Agricultural Supply Chain, Food Supply Chain, and Transportation and Logistics and Related Fields (15 Posts)
Background
University of Dar es Salaam (UDSM)...
Description
Job Overview:
The Sales Officer will be responsible for driving business growth within their location by identifying sales opportunities, building and maintaining customer...
Description
Job Overview:
The Area Sales Manager will oversee the sales operations within a defined geographic region, manage a team of Sales Officers, and drive revenue growth. This role...
Wakuu huu ndo mtiririko wa taasisi za serikali zinazolipa unono na zenye maslahi makubwa kwa watumishi wake
1. TPDC
2. TCRA
4. Ngorongoro
3. Ewura
4. WCF
5. TBS
5. TANAPA
5. Tume ya madini
6...
Habari za wakati huu wanajukwaa!?
Sidhani kama huu ni uziwangu wa kwanza jukwaani juu ya maombi ya kazi. Mimi ni kijana (ME 23) ninaishi Dar es salaam, nimetoka chuo mwakajana ila sikufanikiwa...
Shugulika Africa Ltd is a recruitment company that specializes in connecting employers with qualified job seekers. The company provides staffing solutions across various industries, helping...
Hello Boss
I'm a reliable, adaptive, flexible, energetic young man with readiness to learn new skills and achieve the desired achievements.
I've worked as salesperson,,painter, printing machines...
Heshima kwenu wakubwa kwa wadogo
Nimekuja mbele yenu kuomba msaada wa kibarua chochote ili niweze kuisadia familia yangu nikiwa na maana ya mke na watoto pamoja na mzazi wangu ambae ni mjane...
Habarini Wakuu.
Nipo mbele yenu ninaomba kuunganishwa na kazi ili mradi nipate kipato changu halali.
Nitaeleza kilichonikuta kwa ufupi.
Mimi ni mhitimu wa Shahada ya Usimamizi Wanyamapori (bado...
Job Details: Virtual Data Collector - Real Estate
Company: Daniel Advisory
Location: Remote (Primarily focused on Dar es Salaam, Tanzania market)
About Daniel Advisory:
Daniel Advisory is a...
Sina Lengo la kukatisha tamaa ila Namba hazidanganyi
WAOMBAJI - 135,027
Kwa makadirio kuna wazanzibari 3000, waliobaki wabara 132,027
NAFASI - 1,596
20 % kwa Wazanzibar - 319
80 % kwa Bara -...
Naitwa jonas mashanda ni mkazi wa mkoa wa kagera wilaya ya karagwe,Mimi ni fundi umeme wa majumbani nina uhaba sana wa kazi huku niliko ni fundi mzuri mkweli,mchapakazi na mwaminifu yeyote mwenye...
Habari watanzania humu ndani.Nimekuwa nikiskia Kwamba UTT AMIS inaruhusu kuwekeza Fedha Kwa riba nzuri tu ila sijui process za kujiunga na kutumia.Naomba msaada.
Uzi umeisha.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.