Exciting Career Opportunities at the Embassy of Ireland in Tanzania
Introduction
Are you looking to make a meaningful impact while advancing your career? The Embassy of Ireland in Tanzania is...
Mimi ni dereva wa tax mtandaoni nina leseni yenye daraja c nina acount zote bolt, uber, little ride na farasi. Nina uzoefu wa kazi hii, gari ikiwa ya mkataba au hesabu
Mawasliano +255767630088
Nitangulize salamu zangu kwenu wapendwa
Kijana Miaka 21
Me
Elimu kidato cha sita
Eneo Dar
Ninahitaji msaada wenu wa kazi wakuu ninateseka sana mtaani sijui nianzie wapi Inafikia hatua nakata...
Wadau, Ivi fani ya ku operate mitambo mikubwa kama bulldozer, grader, forklift, na mingine HEAVY EQUIPMENT inalipa vizuri?
Chuo chao kipo wapi, mwenye kujua utamu wa fani hii anisaidie tafadhali...
habarini wapendwa leo katika pitabpita zangu nikakutana na mikopo ya bajaji na bodaboda .
aaah hapana nikauli mkopo wa bajaji nikaambiwa kianzio laki 7 (700000) rejesho kwa siku 27000 na ni...
Naomba msaada wenu nijiandae na maswali gani,nimeitwa kwa mara ya kwanza na UTUMISHI,ni post ya MHANDISI MITAMBO DARAJA LA II (MECHANICAL ENGINEER) TEMESA
Msaada wenu nipitie wapi
job...
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS SEKRETARIETI YA AJIRA KATIKA UTUMISHI WA UMMA
Kumb. Na EA.7/96/01/L/144 17 Juni, 2021
TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI
Katibu wa Sekretarieti ya Ajira...
Habari, naitwa omary ni dereva timamu,sina usumbufu kwenye mali ya mtu uwaminifu 100%.naweza kuendesha gari na Bajaji kwa boss yeyote mwenye uhitaji katika chombo kimoja wapo tajwa hapo juu iwe ya...
St. Augustine University of Tanzania
The St. Augustine University of Tanzania (SAUT) is a private higher learning institution owned by the Tanzania Episcopal Conference (TEC) with a vision of...
Habari wakuu?
Ndugu zangu mimi naishi Misugusugu Kibaha, hivi karibuni nimeanza kuona dalili za ukame kwenye kampuni ninayofanya kazi, jana nikaona niombe ruhusa kazini ili niingie zangu mtaani...
St. Augustine University of Tanzania
The St. Augustine University of Tanzania (SAUT) is a private higher learning institution owned by the Tanzania Episcopal Conference (TEC) with a vision of...
Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania linakaribisha maombi kutoka kwa Watanzania wenye sifa zinazohitajika kwa nafasi ya Katibu Mkuu wa Jukwaa la Mabunge ya Nchi Wanachama wa Mkutano wa...
Habari JF members,
Kuna kijana anatafuta kazi yeyote ile kijana anaitwa WAZIRI GAO.
Elimu yake ni form four. Anapatikana Dar es Salaam. Alitoka Same akaja Dar es Salaam kutafuta maisha bahati...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.