Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

JF Prefixes:

Wakuu nimesomea political science and public administration specialized in international relations and diplomacy. Natafuta nafasi za internship; nafikilia JNICC. Je utaratibu wa kuomba internship...
2 Reactions
1 Replies
63 Views
Background The Media Council of Tanzania (MCT) is an independent, voluntary and self-regulatory body with the objective of promoting freedom of the media and ensuring the highest professional...
0 Reactions
0 Replies
47 Views
Sheria ya kazi inampa haki mfanyakazi kwenda likizo ya siku 28 kila baada ya miezi 12 ya kazi. Na endapo mfanyakazi ataachishwa kazi akiwa na likizo ambayo hakwenda kwa sababa maombi ya likizo...
2 Reactions
10 Replies
230 Views
Habari ndugu zangu? Natumaini mko salama na wazima wa afya. Samahani naomba kuuliza jambo ninechaguliwa katika online written interview za utumishi lakini kituo nilichopangiwa ni mkoa mwingine...
0 Reactions
7 Replies
537 Views
Habari zenu Wana jamiiforum,nilikua ninashida kama kunafundi anaweza akanishika mkoni kama saidia fundi au kama Kuna mtu anaweza akanielekeza sehemu ya kupata vibarua hivyo kwa mkoa wa dar es...
6 Reactions
7 Replies
290 Views
Kama ilivopangwa leo usaili umeanza kwa kada ya afya Aya njooni mtupe update mtihani ulikuaje, mazingira ya mtihan n.k
3 Reactions
89 Replies
7K Views
Natafuta kazi za viwandani ,mgodini au zingine zinazoendana na taaluma ya chemistry ni mhitimu wa Shahada ya sayansi katika chemistry na Biology ( Bachelor of science) popote nafanya kazi Tanzania...
2 Reactions
0 Replies
61 Views
Unapofanikiwa kufaulu written/alternative practical na kwenda hatua ya oral interview Basi jiandae hivi unapokuwa mbele ya panel 1.kama kada yako inahusisha kazi ambazo Mara nyingi mtakuwa site...
54 Reactions
78 Replies
29K Views
Kwa majina naitwa kelvin ramson joseph kama kuna mtu ana connection ya kazi naomba anisaidie nipo dar es salaam nina degree ya bachelor of adult education with community education kama kuna...
2 Reactions
0 Replies
44 Views
Habari zenu wana Jamii Forums Mimi ni kijana miaka 23 niliehitimu Diploma ya Insurance and Risk Management IFM mwaka jana, Natafuta fursa ya ajira, kazi au part time job. Tafadhati naomba kama...
2 Reactions
4 Replies
118 Views
Habari Wana JF naomba kuuliza . Je? Kunauwezekano wakubadili fani baada ya kuajiriwa ( mfano nimeajiriwa katika wizara ya mambo ya ndani katika fani ya electrical na badae nikaenda kuongeza elimu...
1 Reactions
15 Replies
354 Views
IT’S NOT JUST AN OPPORTUNITY TO GET ON THE CAREER LADDER. IT’S AN OPPORTUNITY TO HELP THE WORLD GET ON TOGETHER Why do people call us the world’s most international company? Is it because we...
0 Reactions
3 Replies
123 Views
Baadhi ya kazi ndogo ndogo zinazoweza kupa connection kubwa ukatoka kimaisha kirahisi Hizi kazi zaweza onekana ndogo na mshahara mdogo lakini ukiwa mwaminifu sana na kufanya zaidi ya kazi...
7 Reactions
21 Replies
757 Views
Habari zenu Wakuu Niende moja kwa moja kwenye mada husika Mimi ni mwanafunzi wa Chuo kikuu cha Dar es salaam, Mwalimu Nyerere Main Campus.Ninaomba msaada wa kupata eneo la kufanyia mafunzo kwa...
2 Reactions
13 Replies
197 Views
HOD: Customer Care Operations Aggregate function: Commercial Business Area: Local Commercial Operations Posting Country: Tanzania, United Republic of Full Time / Part Time: Full Time Contract...
0 Reactions
0 Replies
83 Views
Marketing Manager Background DCB Commercial Bank Plc is a fully-fledged retail and commercial bank in Tanzania. The bank offers banking services to Individuals, Microfinance, Small to Medium...
0 Reactions
0 Replies
70 Views
Nina mdogo wangu yupo chuo mwaka wa pili anasoma accounts, nilikuwa nauliza sehemu na nzuri za kufanya field.
2 Reactions
5 Replies
180 Views
Join Kilombero Sugar Company Limited: Your Career Awaits in Tanzania! Introduction Are you ready to sweeten your career with a leading name in the sugar industry? Kilombero Sugar Company Limited...
1 Reactions
0 Replies
153 Views
VACANCY ADVERTISEMENT Hand in Hand Eastern Africa-Tanzania (HIHEA TZ) is a Non-Governmental Organization (NGO) registered in Tanzania since 2018 with a mandate to operate in the country, and part...
1 Reactions
0 Replies
62 Views
Receptionist Mega Beverages Limited Arusha Mega Beverages is one of Tanzania’s leading and truly homegrown alcoholic beverages companies. The home of K-Vant Premium Spirit, Asilia Vodka, and many...
2 Reactions
0 Replies
72 Views
Back
Top Bottom