Juzi tarehe 06 march 2025, Bugando medical centre walitangaza nafasi za ajira kwa kada mbali mbali za afya ila tangazo halikuainisha maombi yatumwe kwa njia gani yani mfano kwa online portal,Email...
1. Wale wakongwe wa ofisi -Wakikuchukia utachukia kazi. Wakikupenda utafurahia.
2. Sekretari - Huyu ni shushu wa bosi. Kila kitu cha hapo ofisini kinamfikia bosi direct.
3. Wafanya usafi - Hawa...
Habari zenu wote? ni matumaini yangu wote ni wazima. Naomba niende moja kwa moja kwenye dhumuni kuu
Mimi kijana wa kiume umri miaka 30, mwenyeji wa Dar es salaam ila kwa sasa nimeamishia makazi...
Katika mapambano ya maisha muda mwingine watu tunakata tamaa, kukata tamaa huanzia ngazi ya mtu binafsi hapo utasikia nafsi inakwambia jiue😭😭😭, mtu huyo huyo anaweza kuikatia tamaa familia yake...
Tunatafuta mtaalamu mwenye ujuzi katika Graphic Design na Digital Marketing kwa ajili ya kujiunga na timu yetu. Mtu anayefaa kwa nafasi hii anatakiwa kuwa mbunifu, mwenye uelewa mzuri wa masoko ya...
Job type: Full-time
Direct Sales Staff ( Fixed Term – 3 Years ) (300 Position(s))
Job Purpose:
Support in driving retail sales objectives of the bank through day-to-day customer visits and...
Habari,
Sekretarieti ya ajira mmeaminiwa kutangaza na kuendesha mchakato wa ajira kwa haki na usawa ili watanzania tuombe ajira za umma kupitia taasisi yenu. Mnapokuwa mnaweka vigezo ambavyo...
Ninaye rafiki yangu ame download dating website templates sio app, sasa anahitaji mtu wa kumsadia kufanya installation maana tayari amesha sajili domain name na hosting ameshalipia. Just...
Habari zenu wana JF.
Mimi ni binti wa kitanzania mwenye umri wa miaka Ishirini na tatu. Ni fresh graduate mwenye shahada ya Uchumi yaani (BA in Economics) kutoka University of Dar es salaam...
Wakuu habari zenu
Kazi nayofanya nimezunguka nimeishi miji kadhaa kila baada ya mwaka nahamishwa, kwa sasa nipo Njombe
mwaka huu nimefikia vigezo vya kupata kituo cha kudumu, nafasi zilizo wazi...
kijana wa miaka 22 pia nnalesen ya udereva class d nimeish form 4 ila nahitaji kazi yoyote kwa sasa ya kujikimu kwa sasa .... natanguliza shukrani zangu za dhati.
Wadau nilikuwa naomba kazi nina kipaji cha upigaji picha na kushoot video lakini pia ninajua graphic designer
Lakini pia nanvyo vifaa vyangu mwenyewe tayari kwa kazi Nina camera, na vifaa...
Habari Wadai,
Mimi naomba nende Moja Kwa Moja ktk mada yangu, Kuna hii kero ya walimu wilaya kilwa mkoani Lindi kucheleweshewa kulipwa nauli zao za likizo Kwa wakati, inafikia hatua hadi mwalimu...
Ndugu wanajukwaa, natumaini mnaendelea vizuri katika harakati za hapa na pale za kujikwamua kiuchumi.
Bila kuwachosha niende moja kwa moja kwenye hoja husika:
Siku za nyuma hivi karibuni Tume...
Wakuu samahani naomba kujuzwa kuhusu ajira zinazotangazwa na MDA & LGAs. Hapa kwenye 'MDA' mara nyingi naona hizi taasisi zinazojitegemea zinatangaza nafasi za kazi zenyewe mfano TRA, TANAPA...
habari za mchana wanajamii naomba msaada kwa mtu ambae ameshawahi kufanya interview utumishi, interview ambayo ilifanyika online naomba kama itampendeza tuwasiliane pm apate kunielekeza mambo...
Habari, mimi ni binti ambaye niliomba ajira serikalini mwaka jana sehemu mbili (Taasisi A, na Taasisi B) kupitia utumishi na nikafanikiwa kupata na kupangiwa kazi kwenye Taasisi A. Hadi sasa nina...
Fao la Kukosa Ajira ni faida/msaada wa kifedha unaotolewa kwa mwanachama wa mfuko wa pensheni aliyepoteza ajira kwa sababu zisizo za hiari, kama vile kufukuzwa kazi, kuisha kwa mkataba, au sababu...
Wakubwa habarini za majukumu, na pia nawapa hongera katika kipindi hiki cha MFUNGO MTAKATIFU( ISLAM& ROMAN CATHOLIC)
Mimi ni kijana( me) 25 OLD ambaye nimehitimu ngazi ya diploma in clinical...
Habari wana JF, rejea na kichwa cha habari hapo juu, Mimi ni kijana nipo mkoa wa mwanza, nimemaliza Chuo mwaka Jana(2023), nimesoma kozi ya clinical medicine (utabibu) katika ngazi ya certificate...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.