Habari wakuu poleni na majukumu
Niende moja kwa moja kwenye madam kama ilivyoainishwa hapo Juu
Nina siku ya 3 Leo Kila nikijaribu Kumsaidia Mdogo Wangu kuomba hizi Nafasi za ajira zilizotangazwa...
FABEC Investment Limited is the Sub Contractor for WASCO ISOAF TZ LTD in the EAST AFRICA CRUDE OIL Project (EACOP)
contracted to build the coating plant in EACOP coating yard in Tabora region...
Habari,
Ofa ofa karibu ujipatie matairi Kwa punguzo la bei mwezi huu wa ramadhani.
Matairi ya magari makubwa pamoja na magari madogo yote yanapatikana Kwa bei za kizalendo kabisa karibu ununue...
Habari,
Kampuni ya Affluence Express Ltd iliyopo Dar Es Salaam na inayotoa huduma za Usafirishaji Vifurushi na Mizigo ina nafasi 3 kwa Vijana wa Kitanzania kama Ifuatavyo;-
1. Operations Officer...
Habari zenu jobless kwa graduates, waajiri kwa wakurugenzi n.k . Niende direct kwenye mada
Kutokana na watu wengi kuhangaika kutafuta ajira na wengine kutafuta waajiriwa humu nimeamua kuja na huu...
Huu ni uzi maalumu kwa ajiri ya kushare Maswali ambayo ulishawahi kukutana nayo katika Interview za UTUMISHI (PSRS) kwenye kada tofauti tofauti iwe ni Oral,pract au written....
Acha swali...
Wakuu natumaini mpo salama ,, moja kwa moja kwenye mada ..
Ni hivi katika ajira hizi zilizotolewa na utumishi hivi karibuni ,, nimeona walimu wa Economics wakizuiliwa vikali kuomba nafasi ya...
Kama uko na ndugu au wewe mwenyewe tuwasiliane...
👇🏿👇🏿👇🏿👇🏿👇🏿👇🏿
Update: Nimepata 5 interview kesho... Nitatoa mrejesho.. Asanteni sana kwa ushirikiano,🙏🏿🙏🏿🙏🏿
Habari za muda comrades,
Naomba msaada mwenye uzoefu na interview za UTUMISHI kwa kada ya Counterfeits Surveillance Officer, ya FAIR COMPETITION COMMISSION, msaada wa nini wanauliza au waliuliza...
Wadau naomba kuuliza hivi unaweza kupangiwa usaili wa mchujo(witten test) halafu usipangiwe usaili wa mahojiano(oral test)?
Maana nimepangiwa usaili wa mchujo pekee lakini sijapangiwa usaili wa...
Habari Wakuu, Kiwanda Kipo Dodoma kinahitaji accountants waliomaliza chuo Mwaka jana(2024) au Mwaka juzi(2023).
Naomba tuma CV zako kwenda hrfbde@gmail.com
Angalizo: Usitume CV zako kama...
Hello mimi ni binti wa miaka 23 nimehitimu chuo kikuu cha Dar es salaam mwaka jana 2024 Bachelor of Commerce in Accounting. Mimi kama kijana nahitajii kazi ili niweze kutimiza ndoto zangu maana...
WAKUU, AMANI NA IWE NANYI. Ni lengo la sera ya elimu ya mwaka 1995 na 2014 kuwa na Mtanzania aliyeelimika, mwenye maarifa, stadi na mtazamo chanya katika kuchangia maendeleo endelevu ya Taifa la...
Jamani nia na madhumuni ya Uzi huu ni kupeana updates mbalimbali Kwa wale tulio omba ajira za jeshi la polisi 2024 kama Kuna yeyote anajua chochote kuhusiana na CCP akuje atupe mwanga, mbinu za...
Ndugu zangu, Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 23 na elimu ya kidato cha sita. Nilichaguliwa kusoma chuo cha IFM kampasi ya Dar es Salaam. Mwaka jana nilisitisha masomo baada ya kupungukiwa na...
Cleaning Services Tender – Right to Play Office, Nov 2024
Terms of Reference for – Cleaning Services
Location: Right To Play Office, Mikocheni, Dar es Salaam
Contract Duration: Four Months...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.