Anahitajika Bachelor Pharmacist mwenye leseni kusimamia Phamarcy
Location: Dar es Salaam
NOTE : SIO LAZIMA YEYE KUWEPO PHYSICALLY
SALARY : NJOO NA DAU LAKO
Mawasiliano: 0767810030
Kwema ndugu zangu?
Mimi ni kijana miaka 22 nina elimu ya kidato cha sita. Nilikuwa nasoma chuo IFM mwaka wa pili ada imekosekana hivyo nimeshindwa kuendelea na masomo.
Nilikuwa naomba mnisaidie...
Naelewa magumu wanayo pitia wanao tafuta ajira, kula yao tu MUNGU anasimamia.
ila kuna ndugu zenu wamepata ajira halmashauri nao kichwa kinapasuka kwa madeni, stress na uduchu wa mishahara.
Hela...
Oya wazeee habari, ivi wataalamu wa interview za TBS embu tupeanile possible angles hasa kwenye kazi za
1. Food inspection officer
2. Quality assurance officer
3. Research officer
Habari wakuu!
Suala ni hili wakuu,
Nina online radio ambayo inasikilizwa kwa kiasi hapa nchini na zaidi ni nchi za nje kama Misri, Algeria, Germany, Finland, nk. Hali iliyopelekea watu wa nje...
Kwajina naitwa Saiid Omaly Ngulupy
Nina uzoefu wa udereva wa miaaka minne .nimkazi wa chamzi .ninauzoefu wa gari zifuatazo garindogo ya aina yeyote .na kinzia tani moja ady 20 kwa gari za mizigo...
Mimi ni Mwanasheria (Wakili), wa Mahakama Kuu na Mahakama zote za chini. Uzoefu miaka 5+
Jinsia - Mwanaume
Maeneo ya ubobevu ni: -
Masuala yote ya Ardhi,
Mirathi na Ndoa,
Kazi na Ajira...
Job Title: Full Stack Web Developers
Location: Arusha
Company Overview:
Masoco Africa Limited is a dynamic and innovative company dedicated to creating high-performance web applications. We are...
Job Title: Mobile Apps Developer
Location: Arusha
Company Overview:Masoco Africa Limited is a dynamic and innovative company dedicated to creating high-performance mobile applications. We are...
Job Title: Digital Marketing Officer
Location: Arusha
Company Overview:Masoco Africa Limited is a dynamic and innovative company dedicated to providing cutting-edge digital solutions. We are...
Habarini za leo ndugu zangu, mimi ni binti wa miaka24, Elimu yangu ni degree ya Mass communication in public relations and marketing Naombeni msaada wa kazi🙏 yoyote ile ambayo ni halali iwe ya...
1.naomba kufahamu kuhusu mishahara ya jeshi la zima moto
2.naomba kufahamu baada ya kuhitimu mafunzo ya jeshi la zimamoto wanakuruhusu baada ya miaka mingapi ukasome Tena
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.