Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

JF Prefixes:

Nilikua nauliza km nikifanya internship kati ya hizi taasisi 2 kutakua na uwezekano wa kupata ajira zikitoka af pia hua wanalipa intern???!
5 Reactions
9 Replies
383 Views
Habari za muda huu wadau wa JamiiForums. Naomba ushauri na maelezo kuhusu Recategorization kwenye swala la ajira. Mimi ni Clinical Officer lakini pia ni Mwalimu wa mathematics Ngazi ya degree...
5 Reactions
6 Replies
378 Views
Hello! Mnaendeleaje wana jamii forums …kama kichwa cha habari kinavo jieleza hapo. Kwa anae famam namna maswali yanavotoka kwenye written pamoja na kwenye oral interview Msaada 🙏
0 Reactions
1 Replies
135 Views
Habari...kuna ajira zilitangazwa mwaka jana tarehe 3.8.2024 Za wasaidizi wa hesabu daraja 1 Sasa ni miezi sita hawajaita watu kufanya usaili shida kubwa hapo ni nin, wenye ujuzi wa haya mambo...
1 Reactions
7 Replies
261 Views
Kama kichwa cha habari kinavosomeka, Kijana wenu nimekuja tena kuomba msaada wa kazi yeyote kwa mtu yeyote atakaeguswa. Elimu yangu ni Bachelor of Science in Forestry (2022) , lakini nipo tayari...
1 Reactions
23 Replies
847 Views
Ndugu wanajukwaa,nimepata changamoto ya kuomba kazi kupitia mfumo wa kuomba kazi katika jeshi la Zimamoto. Nimefuata taratibu zote za kujisajili kwenye mfumo wa ajira ili kuomba kazi kama...
1 Reactions
3 Replies
449 Views
Wakuu habari ya jumapili Kwa heshima na tahadhima naomba kwenye connection ya kazi ya kufanya delivery ya mizigo kwa kampuni zilizopo Mwanza anishtue au kama kuna kazi yoyote halali mnipe jamani...
0 Reactions
4 Replies
197 Views
https://www.youtube.com/live/0EcQvO6owwc?si=C3wENbOFWYVOz-Cp "Umoja wa Waalimu Wasio na Ajira (NETO) ulianza na Wanachama (wajumbe) 15 kupitia makundi ya WhatsApp. Tulianzisha NETO kwasababu ya...
20 Reactions
203 Replies
7K Views
Habari zenu wakuu. Mimi ni mgeni hapa JF lakini nimekuwa nikifuatilia platform hii kwa miaka kadhaa sasa. Lengo la kuja hapa jukwaani ni kuomba msaada wenu wa kazi ya aina yoyote ile ili mradi...
1 Reactions
2 Replies
184 Views
Utumishi (PSRS) wamemaliza usaili KADA ya UALIMU Jana jumatatu Tarehe 24. Ni vyema wakaachia majina ya waliopata AJIRA (PLACEMENT) ya masomo yote Kwa mkupuo kuliko kuwaweka Vijana waendelee Kila...
2 Reactions
16 Replies
737 Views
Samahani naomba kujua kama majina ya waliopata kazi na uwalimu, ustawi wa jamii,maendeleo n.k kama wameshamaliza kuyatoa?
0 Reactions
1 Replies
113 Views
Habari zenu jomoni!! Mimi nimesomea records management lakini nimeenda kufanya interview katika kazi ya sales na marketing. Mtu anatufanyia interview kaniuliza hivi! Je kwanini umekuja kuomba kazi...
0 Reactions
9 Replies
436 Views
Habari ndugu zangu! Kiukweli niko kwenye SURVIVAL MODE hali ni mbaya sana ground ni pamoto kwakweli moja haikai wala mbili haikai naombeni kwa mwenye connection ya kazi ya ULINZI as a stepping...
10 Reactions
56 Replies
1K Views
Habar wakuu! Natafuta kazi ya ulinzi umri; 28yrs old Elimu; kidato cha 6, chuo but #dropout kwa sababu za kifedha lakn sio ishu Mafunzo; JKT, Op; makao makuu Dodoma Uzoefu; 3yrs of...
5 Reactions
20 Replies
1K Views
Mchakato umejaa manyanyaso Kwa vijana wasio na ajira Wala kipato kinachoeleweka kuanzia kwenye utumaji maombi ya kazi. Vijana walitakiwa kucertify vyeti vyao Kwa mwanasheria/wakili/hakimu yeyote...
28 Reactions
290 Replies
8K Views
Kiualisia sekretarit ya ajira kufikia hatua ya kutangaza nafasi za ajira ina maana kuna uitaji.Sasa inakuwaje nafasi itangazwe toka mwaka jana(2024) mwezi 8 mpaka mwezi huu wa pili mwaka 2025...
1 Reactions
8 Replies
435 Views
Nikijana WA miaka 23 Napatikana kigoma Elimu kidato cha nne Nina cheti Mafunzo jkt OPP magufili Afya njema na ujuzi wa karetii na cheti pia kipo Nko tayali kufanya kazi ndani na nnje ya...
2 Reactions
29 Replies
5K Views
Habari, rejea kichwa cha habari. Jinsia: Me Umri: 28 yrs old Mafunzo: JKT Uzoefu wa kulinda: 3yrs Vituo nivyolinda: Julius Nyerere hydropower project (JNHPP),some of TRA offices &some of petrol...
5 Reactions
107 Replies
5K Views
Mimi ni op wa excavator nlikua natafuta kazi wakuu
2 Reactions
3 Replies
117 Views
Moja ya watu ambao ni wa kwanza kuifahamu LBL Kupitia wao ni SOKOHURU Kila kukicha alikuwa anaitangaza viongozi wa mikoani wengi wamekamatwa huyu jamaa mbona hakamatwi?
2 Reactions
9 Replies
214 Views
Back
Top Bottom