Kwema jamani?
Wale tuliobahatika kuitwa kwenye usaili wa hii nafasi karibuni tubadilishane uzoefu wa maswali mbalimbali ya written yanayoulizwa na utumishi kwa nafasi tajwa.
Kama tittle ya thread inavojieleza, wale wote tunaotazamia kwenda kupambana kwenye interview ya mamlaka ya mapato Tanzania kwa kada za customs officer II na tax management officer II naomba...
Kwema wakuu?
Kuuliza sio ujinga.hivi kati ya Tax management officer ii vs custom officer ii
1. Ipi ina mitihani ya mchujo migumu?
2. Ipi ni nzuri kufanyia kazi.
3. Kuna tofauti yoyote ya...
Habari wasaka ajira! Kuna tetesi ambao hazijathibishwa rasmi kuhusu kuitwa kwenye usahili wa mahojiano TRA!? Je ni kweli!? Tetesi zifuatazo bado hazijazibitishwa.
1. Kuwa wameita oral interview...
Ndugu zangu poleni sana kwa paper tulilopitia la Tax Managemeng officers II, bado tunaendelea kukosa ajira kwa kuteseka na mitihani, hongereni kwa wote mliojiandaa vyema. Mungu atubariki sote.
Job Title: Tax Management Officer II (206 Posts)
Responsibilities
To assist in the preparation of action plans.
To conduct face vetting of tax returns.
To conduct desk audit on simple cases and...
Watu wameitwa wengi mpaka inatia uvivu kwenda kuwenye interview yenyewe mfano tax management officer II wameitwa wagu elfu kumi na mbili mia mbili thelathini na tatu 12,233 hiyo ni post moja bado...
Position: English Teachers (O-Level)
Subject and work station:
English Literature & Kiswahili (O – Level) - Smith Campus, Usa River, Arusha
English Literature (O – Level) - Sisia Campus...
Habari Wadau,
Nakutana na changamoto ya usajili wa TIN number kwenye recruitment portal ya TRA, ambapo kila nikijaribu kuingiza number husika za TIN na kuzi-save, mfumo unaleta msg kwamba...
Vijana wenzangu, poleni na jua kali.
Ni jambo jema kwetu sisi wasio na ajira kuona miradi ya kimkakati ikianza tena kufunguka. Kiukweli, hapo nyuma miradi mingi ilisimama ghafla.
SGR Tabora -...
Kwa muda takribani wiki sasa, nimekuwa nikijaribu kutuma maombi ya kazi kupitia mfumo wa ajira wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) bila mafanikio. Niwaombe Mamlaka watoke hadharani na kutoa tamko...
📢 Internship Opportunity – FIRST PLUS LIMITED 📢
FIRST PLUS LIMITED is seeking a motivated intern to join our team and gain valuable hands-on experience.
Qualifications:
✔ Diploma or Bachelor's...
Habari Wana JF
Sinamengi yakusema ila kama unapambana kitaa pambana usihangaike na ajira za serikalini utaumia, Hawa watumishi wa uma wanao vaa vizuri huku mtaani msiwaogope Wala msitamani maisha...
"Caregiver" ni mtu anayeshughulikia na kusaidia wale ambao hawawezi kufanya shughuli za kawaida za kila siku kwa sababu za afya, uzee, au ulemavu. Kazi za caregiver zinaweza kujumuisha:
1...
Habari Wakuu, Kiwanda Kipo Dodoma cha Alizeti kinahitaji wafanyakazi wa ndani ya Kiwanda wenye kujua ku operates Machine mbalimbali.
1. Boiler Operator
2. Refinery Operator
3. Oil Crusher...
Wakuu heri ya jumapili.
Sijajua ni kuchanganyikiwa au vipi,kuna jamaa yangu kafunga safari kaenda huko kwao Magu kwa mganga ili tu awekwe sawa kwa ajili ya hizi kazi za tra zilizotangazwa majuzi...
Yaani badala ya kuajiri wao mama anagawa pesa simba na yanga tu, mimi nimesoma udsm degree ya petroleum engineering nimemaliza 2017 mpaka sasa sina ajira. Nina GPA ya 4.5 lakini naponda kokoto...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.