Habari wadau,
Ivi mfano wew ni muajiriwa wa serikali Tamisemi, ukabahatika kupata kazi Taasisi kwa kufaulu usaili kama watu wengine, mchakato wa kuhama upo vipi?
Naomba muongozo wenu natanguliza...
Nimejikuta nawaza tu....
Binafsi ajira yangu ya kwanza ilikua mwaka 2000, na mshahara wangu ulikua 115,000Tsh.
Nakumbuka nilikua nimemzidi babayangu mshahara na alishangaa sana.
Habari wana JAMIIFORUMS
Kumekua na ucheleweshwaji wa kuajiri walimu tangu kutoka kwa kibali Cha ajira za walimu 2024 Hadi Leo 2025 mchakato umekua mrefu sana, pia kipindi usaili ukiwa unaendelea...
Company Overview
Tanzania Empowerment Forum Limited (TEF Consult) is a management consulting firm specializing in organizational change, talent search, acquisition, and executive selection. We are...
Interested parties are hereby invited to tender for the supply of the following; “The supply of beans to The School of St Jude, Sisia Campus, Moshono, Arusha”. Bidders are invited to submit their...
Habari zenu wakuu..
Embu tusaidiane kupeana connection.
Mm nipo dar mbagala.
Na ujuzi wa videographer, photographer graphics designer na content creater.
Na uzoefu wa Zaid ya miaka 5.
Km Kuna...
Hamjambo humu?
Imekua mara yangu ya kwanza kufanya written interview za serikali.
Nimefanya nafasi ya accounts officer ii, nimepata 78 ila sijawa selected.
Nimelichukulia hili jambo very...
Habarini wana JF, Mimi ni kijana Nina miaka 25, natafuta kazi nimesoma clinical medicine, nipo registered na leseni ninayo, naomba kazi dispensary au health centre, Kwa Sasa nipo mwanza...
Habari wadau, poleni na majukumu yenu. Samahani naomba mnishauri katika jambo lifuatalo. Mimi ni graduate katika fani fani ya Mazingira.
Nimeshasota sana mtaani pasipo kuwa na kibarua au ajira...
Habari za wakuu,
Naomba niende kwenye mada moja kwa moja tunafahamu kwamba taasisi hizi zipo vizuri kwenye maslahi je ni wapi kuna maslahi zaidi ikiwa mtumishi anataka kuhamia huko.
TBS, NSSF...
Wakuu mimi ni mwalimu natamani nikafundishe kati ya Nchi tajwa hapo juu tafadhali mwenye miongozo anipatie hapa jukwaani mimi na wanajukwaa wenye shida kama yangu tutashukuru sana
Ahsanteni
Nafasi: Wasaidizi wa Kukusanya Data za Wateja
Eneo: Mwanza Mjini
Muda wa Kazi: Mwezi Mmoja
Mwisho wa Maombi : 27-02-2025
CollectTech Limited inatangaza nafasi za muda kwa vijana wanaoishi Mwanza...
Wasalaam, Wana jukwaa. Kufuatia hiki kizungumkuti Cha Idadi kubwa ya waalimu wasio na ajira hata kuelekea kuunda chama chao, huku kukiwa na Idadi kubwa ya upungufu wa waalimu kwa mashule mengi...
Habari, ningependa kufahamu nikiwa mmiliki wa pikipiki Dar es salaam na nikahitaji kujiunga na Bolt au Uber wastani tsh ngapi kwa siku naweza ingiza. Pikipiki yangu na naendesha mwenyewe. Kuna...
Mimi nimuhitimu wa chuo kikuu mwenye Bcs. of Environmental Health Science with IT na pia nimesoma short course ya OSHA NOSHC I (National Occupational Safety Health) natafuta kazi/kujitolea...
Habari wana jamii,
Naomba kwa yeyeto mwenye connection ya kazi ya Health, Safety and Environment (HSE) popote aniunganishe.
Nina Degree ya Environmental Planning and Management pia nina NOSHC I...
Position: Safety, Health & Environment (SHE) Director
Job Purpose
The successful candidate will set direction and strategy for Occupational Safety, Health, Environment & Risk performance for the...
Vipi jamani, mambo yameendaje huko?
Maana kuna jamaa yangu alinikopa nauli ya kwenda huko Dodoma kuhudhuria huo usaili nafasi ya Tax management officer ii, jana nampigia kutaka kujua kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.