Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

JF Prefixes:

MM research &consultancy... Ni kampuni ya kitanzania wenye uzoefu mkubwa katika kazi za tafiti... Tunawakaribisha mashirika na makampuni na taasisi zote kushirikiana nasi katika tafiti ili...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
naomba mnisaidie kuhusu kampuni ya maxcom afrika millenium tower inahusika na nini
0 Reactions
0 Replies
963 Views
jamani naomba mnisaidie hivi hii kampuni inayoitwa maxcom millenium tower makumbusho ina husika na nini
0 Reactions
0 Replies
775 Views
shirikisho la wasio na ajira kwa ajili ya kuleta pamoja rasilimali za wasio na ajira kwa ajili ya maendeleo ya shirikisho,TFU(Tanzania Federation of Unemployed),nakarisha mawazo kwa ajili ya huu...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Udom wameita tena college of natural and mathematical science ingia kwenye website yao uangalie jina lako kwa nafasi za lecturer, asst. Lecturer and tutorial assistant
0 Reactions
4 Replies
3K Views
WAPENDWA WATANZANIA WENZANGU MNAOTAFUTA KAZI KWA UDI NA UVUMBA SULUHISHO LENU LIMEKUJA SASA ,TUMA CV NA BARUA YAKO patakazi2012@gmail.com,TUTAKUJIBU MARA MOJA N NA NINAKUHAKIKISHIA UTAPATA...
8 Reactions
205 Replies
26K Views
T
Jamani nahitaji kazi au tenda!ila iwe harali
0 Reactions
4 Replies
1K Views
jamani hawa jamaa tayari au bado? kuita kwenye usaili?
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nawasalimu kwa jina la Bwana wanajf, naombeni kujuzwa kuhusu interview tuliofanya MWANZA Tanroads trh 28/11/2012 kama majibu yameshatoka, nawasilisha kwenu ndugu zangu naombeni msaada.
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Mbona serikali haimwajiri mtu mpaka aanze kufanya kaz kwa mkataba kwa sasa hili ni tatiz mafao tutapata tukiwa tumezeeka.
0 Reactions
0 Replies
745 Views
kwa wanaohitaji tution kwa masomo ya science na pia kwa wale wanaohitaji french lessons, am a mobile teacher anaeweza kukufundishia mahali unapopenda wewe kwa muda unaokufaa. email me your number...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Salute kwenu wana JF, naomba kwe yeyote mwenye keys za window 7 ultimate genuine anisaidie, maana pc inataka niweke genuine, ahsanten!
0 Reactions
2 Replies
898 Views
Nahitaji mwalimu wa hiyo software ya mahesabu ya kihasibu haraka sana iwezekanavyo Asanteni
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hi All, Attached are the three posts Digital Opportunity Trust - (DOT) is looking to fill, as they are detailed in the attachments. If you know anybody qualified to fill these posts, please...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
We are here by need individuals to fill in the available positions very urgently!!! Company: Vipaji Link Position: Sales and Marketing location: Between Morocco and Victoria, AFRICAN BUILDING...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari jf!. Naomba kujuwa kama TANROADS Kibaha walifanya usaili mi niliomba nafasi ya Shift in charge maana ni mwezi wa pili sasa cijackia. Naomba kufahamu ili kama ndiyo business as usual...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
wana JF naomba kujuwa kama Tanroads Kibaha wameshaita watu kwa ajili ya usahili kwa nafasi za ''shift in charge''. Natanguliza shukrani
0 Reactions
6 Replies
3K Views
HABARI ZENYU WANA JF.Mwenye kituo cha Mafuta ambacho hakina CAR WASH kwa hapa dar naomba tuwasiliane 0714918816/0762091812.Natanguliza shukrani
0 Reactions
0 Replies
1K Views
kwa yeyote mwenye NGO au kuweza kusaidia kupata taarifa inayohusika na mazingira,research,au project evaluation,proposal writting e au social institution yeyote inayojihusisha na jamii kwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
wadau mwenye kujua basic question kwenye oral interview anisaidie,nimeitwa kwa post ya logistic officer.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Back
Top Bottom