Habari wana JF
Nilituma maombi ya kazi pale UDOM nafasi ya taaluma katika college ya Mathematics & Natural Sciences, ninafikiri nitaitwa kwenye interview labda kama barua yangu haikufika mahala...
habari wanajamvi,kuna binti amemaliza mass communication katika chuo kikuu cha mlimani mwaka huu,anatafuta kazi sehemu yoyote ile,kwa ambaye amesikia tangazo au anafahamu mahali wanapohitaji...
Hawa watu walio kwenye ajira ndio chanzo kikuu cha ukosefu ajira kwa sisi magraduet. Nasema hivi kwasababu kila ajira ikitangazwa na unapoenda interview zaidi ya nusu ya watu watu wanaoitwa ni...
Wanabodi wa JF!!
Naombeni uzoefu kwa yoyote yule anaefahamu jinsi hizi Agencies zinavyotunga mtihani yao...hasa kwenye profession ya uhasibu.
Nitashukuru kwa msaada............
Jamani napenda kwa heshima na taadhima kuwauliza wahusika na wasimamizi wakuu wa mtandao huu wa JF,
Hivi jamani nyie hamna ofis?Na kama jibu ni ndiyo kwa maana ya mnazo ofisi.
Je hamna nafasi...
Nina diploma ya education masomo ya histoy na geography. nina experience ya miaka 6, nataka shule zilizopo dsm. Ziwe private school, primary school au secondary haijalishi. Naomba msaada wenu...
Wakuu heshima zenu ! ! Sisi ni kampuni ya binafsi ya wazalendo, Tumefungua matawi kadhaa hivi karibuni, ili kupata wafanyakazi wapya panahitajika taratibu kadhaa ikiwemo na udhamini, kwa kuwa...
Nashukuru sana kwa wana jf waliotuwekea link ya matokeo ya interview tar 8/12. Naomba kujua hiyo oral interview ya tar 13/12/2012 ya Land Officer itaanza saa ngapi na wapi? Nimejaribu kufungua...
Jamani wanajamii Forum leo nimeona nifikishe haya malalamiko kwa Wahusika SECRETARIAT YA AJIRA,inaonekana baadhi ya watumishi kaitka kitengo hicho sio waaminifu hata kidogo kwani katika mtihani...
Wapendwa wana JF salamu kwenu. mimi ni Mtendaji wa kata mkoani kilimanjaro wilaya ya Siha. Natafuta mtu wa kubadilishana naye kutoka katika wilaya moja wapo kati ya Kinondoni, Ilala, Temeke...
Najua mnachelewa kutupia watu waliopita interview ya dec 8 coz mnachakachua ili muwaweke watoto wenu na shangazi zenu.koz toka asubuhi ya leo nyie mnazingua tu.wekeni watu kama vip waibukie plan...
Jamani ebu tupeane mawazo kuhusu hawa jamaa wa
PSRS:
Tarehe 28 mwezi uliopita (Novemba) wameita watu kazini kwenye kada mbali mbali kama MEO,VEO,WEO na zingine nyingi.
Katika tangazo la kuita...
Huu ndio ujumbe ninaokutana nao kila nikijaribu kuperuzi www.ajira.go.tz tangu jana,msaada wanJF
Database Error: Unable to connect to the database:Could not connect to MySQL
Naomba msaada wa taarifa kwa anaejua kama SBC TZ Ltd tayari wameshaita kwa zile kazi walizotoa October mwaka huu,kuna mtu aliniomba nimjuze kuhusu hili namm cna info.zozote nkaona hebu niulizie...
Naomba kufahamu yafuatayo juu ya usaili unaotegemewa kufanyika pale Duce tarehe 15 Dec 2012.
Je kutakuwa na kuunganisha interview zote mbili(written and oral) kama ilivyozoeleka, ile ya kufanya...
Salaam wakuu,nimepata simu kwa mshikaji wangu kuwa nimeitwa kwenye usaili tar 15 dec ila akanambia nifuatilie zaidi.
Wakuu mie nipo huku TANDAHIMBA nachonga vinyago vya kimakonde sasa inakua...
Nimekutana na tangazo hili la kazi. Changamkieni:
A reputed Norwegian NGO (Voice of Children), working for fight against child sexual abuse and rescue rehabilitation, reintegration and prevention...