jamani naomba mtujuze mana ktk matangazo ya kuitwa kwenye usaili sijaona hii post post ya kuitwa kwenye usaili
post ya AFISA BIASHARA DARAJA LA II (TRADE OFFICER GRADE II)
Ndugu zangu wana JF ukisikia Bank za kipumbuvu katika kuajili wafanyakazi wake ndiyo hizi mbili, kwa mtazamo wangu ni Namba moja.Leo nitaielezea moja nayo ni NMB.
Hawa jamaa Namuomba Mungu Kama...
nashangaa kuona hakuna nafasi ya kazi yoyote ile kwenye hizo halmashauri mpya sasa sijui wanatekelezaje majukumu yao ikiwa hakuna wafanyakazi cha kushanagza hata nafasi za kujitolea hamna...au...
Nimejaliwa kuhitimu Diploma ya Computer and Information Technology mwaka 2010.
Ninauzoefu wa miaka mitatu kwenye kazi za Computer na Training za Computer kama Mkufunzi
Vitu vya zianda ni: -...
Hello Wanajamii,
I have been consulted by an Engineering College here in DSM to hire a tutor in Computer Science subjects especially programming (C, Java, .NET) and Database Management (with...
HI JF,
Kuna baadhi ya waajiri hutumia uhaba wa ajira kuwanyonga wafanyakaziwao ktk mishara, hili siyo sahihi kabisa kwani bila wafanyakazi uzalishaji hakuna uzalishaji
Wiki tatu zilizopita kazini kwetu kuna jamaa alikua anatafuta HG na akaletwa Binti mmoja kwa jina la Esther Banda ambaye nilikuja kugundua kuwa ni M'malawi na alishafanya kazi za ndani kwa watu...
Haya wadau changamkieni nafasi hizo,deadline ni Jumatatu tarehe 09/12/2012.tuma CV kwa midlinksassociates@yahoo.com
nimeshindwa kuzituma kama attachement naona forum kama sio user frienly...
KAY DEE INVESTMENT INATANGAZA TENA NAFAS ( 2) MBILI ZA KAZI YA M-PESA
SIFA ZA MUOMBAJI
1. AWE NA UZOEFU WA KUFANYA KAZI USIOPUNGUA MIEZI SITA.
2.AWE MSICHANA KATI YA MIAKA 18-25 TU.
3.AWE ANAISHI...
I'm Civil Engineer specialised on Geotechnical Engineering. I'm providing consultancy work on geotechnical investigation of soil before construction of any structure.I'm also doing design of...
Kuna ndugu yangu mmoja amezunguka akitafuta ajira miaka kadhaa hajapata! Katika application zaidi ya 80 amefanya interview 3 tu! Alichoka zaidi pale majina yalipotolewa na Sekretarieti ya ajira...
Ninatafuta wafasiri wa lugha za Shona<>Kiingereza, Ndebele<>Kiingereza na Oromo<>Kiingereza, yaani kutoka na kwenda Kiingereza.
Ikiwa wewe unaelewa angalau moja ya lugha hizo na/au kama unamjua...
Wana JF habari zenu,
Naomba kujuzwa kuhusu hii post Research assistant II nimeitwa interview lakini sina details za kutosha.
1. Naomba kujuzwa ngazi zao za mshahara katika hii post, nakumbuka...
WADAU NAOMBA MNISAIDIE E-MAIL ADRESS ZA KUTUMA APPLICATION KWA HAWA JAMAAA USAID-TAPP, KUNA KAZI WAMETOA ZIPO ZOOMTANZANIA, LAKINI ZOOM HAWAJAWEKA EMAIL ZA HAWA JAMAA KWA ANAYEJUA ANISAIDIE...
1
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
OFISI YA RAIS
SEKRETARIETI YA AJIRA KATIKA UTUMISHI WA UMMA
Kumb. Na. EA.7/96/01/C/70 4 Desemba, 2012
KUITWA KWENYE USAILI
Katibu wa Sekretarieti ya Ajira...
WABANTU CO LTD ILIYOPO DAR ER SALAAM BADO WANAHITAJI WATU WA SALES AND MARKETING WENYE UZOEFU USIOPUNGUA MIAKA MIWILI,MSHAHARA NI 500000/=USAFIRI UTAKUWEPO TUMA MAOMBI KUPITIA EMAIL...
We are looking for an accountant, mechanical and electrical engineers and Administrator. If you know any one with these qualifications, please let him / her fill this vacancy. Advice her/him post...
Utumishi wameita kada mbalimbali kwenye interview tarehe 6,7,na 8 December 2012. Tembelea website yao. Hongereni kwa walioitwa Mungu awasaidie mkafanye vema, na wale ambao hajaitwa hakuna sababu...