HAY
waugwana wa jf natafuta tenda za kupamba katika maharusi, misiba na sehemu mbalimbali za burudani,
ninafanya decoration kwa rangi mbalimbali kwa mteja anayehitaji, vilevile ni mbunifu wa...
Heshima kwenu wakuu. Mdogo wangu ana Foundation stage I & II kutoka NBMM na NABE Stage I & II, naomba wakuu mnisaidie aweze kupata kazi. Yupo Dar es salaam. Natanguliza shukrani zangu za dhati...
QUALIFICATION
at least Advance diploma in Human Resource,business administration,and related field.
Minimum 2 years experience in Recruitment & Outsource operations.
send your CV at...
JAMANI KWA WALE WALIOKUWA WANASUBIRI KWA HAMU SANA NAFASI MBALIMBALI ZILIZOPATA KUTANGAZWA NA SECRETARIAT YA AJIRA KWA VIPINDI TOFAUTITOFAUTI, ANGALIENI HII. WANAITA BAADHI YA KADA. ANGALIA...
Mwalimu anahitajika haraka sana
Mahali: Shinyanga Mjini
Sifa;
Awe na uwezo wa kufundisha masomo ya Advanced Mathematics, Geography, Physics and Chemistry.
Awe amesoma combination za EGM, PGM...
Kwa wale wenye vijana wa IT na wengine kuna kazi zimetangazwa na Wakala ya Serikali Mtandao (e-Government Agency). Unaweza kuzipata kwenye link hii Document Details | TANGAZO LA KAZI eGA 1...
WABANTU CO LTD WANATANGAZA NAFASI ZA KAZI KWA WENYE TAALUMA YA SALES AND MARKETING tuma CV zako kupitia email yao ya hr@wabantu.com tuma sasa muda wa maombi ni mchache
Habari wana JF, Nina stationery ipo maeneo ya Sinza Kijiweni.
Natafuta Binti wa kazi mwenye taaluma ya secretarial issues.
Wenye ujuzi huo wani Pm au tuma cv kwenye email address...
wadau mambo vipi hawa jamaa wa aga khan foundation walitoaga nafasi mbali mbali mtwara, vipi walishaita watu kwa ajil ya interview naomba kujuzwa kwa anayejua
Awe kijana miaka 18-26 ajue kunyoa vizuri,kuweka wave,superblack,magic etc.Saloon ipo TEMEKE karibu na TAZARA nipigie au tuma sms namba 0683425636 au 0719177540
Kama wewe ni Mtaalamu katika moja ya yafuatayo, tafadhali Ni-PM nitakupa email kisha nitumie CV yako kuhusiana na Consultancy Work ASAP:
1. Training of Internal Auditors On IPSAS and IFRS...
Kulingana na title hapo juu.,a charming Young energetic girl is hereby seeking for a place where she can practise her college knowledge on SECRETARY FIELD OF WORK stage 1and 2 with a good short...
I am looking for a job specifically in logistics and system administration, I have about twelve years experience in the said areas. Any interested person or company please trace me at contacts...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.