Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

JF Prefixes:

Habari wakuu,naomba mwenye taarifa kuhusu mafunzo yao ya septemba anijuze manake naona kimya sana na muda unakatika na watu tushatoa ada ya mafunzo. Nawasilisha.
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Jamani mie natafuta kazi ya graphics design na visual editing! Nina uzoefu wa kutosha na ujuzi! Nafanya animation na 3D kwa ufasaha! Mwenye kujua anitumie e-mail: martinzabron@yahoo.com
0 Reactions
7 Replies
1K Views
OFFICE ASSISTANCE JOB VACANCY COMPANY:SUN SHINE GROUP LIMITED LOCATION:Morocco near Airtel building POST/POSITION:Office Assistance QUALIFICATION: · Female by gender ·...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Nafasi za kazi zilizotangazwa May 28,2012 pamoja June baadhi ya hizo mpaka sasa hawajaita waombaji kwenye usili. Swali:Kwanini hawa jamaa wanatangaza nafasi za kazi kabla hawajajipanga? Tunatakiwa...
2 Reactions
2 Replies
2K Views
Sifa za mwombaji! Awe ma umri wa 18 hadi 25. Asiwe na mtoto, awe wa kuja na kuondoka maeneo ni moshono: kwa mawasiliano 0753 166381
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Naomba kuuliza, hivi vijana wote tusio na ajira na serikali inatuangalia kwa furaha tu mwaonaje tutafute njia mbadala ya kuieleza jamii kuwa tuna shida?Nayaandika haya kwa sababu tupo hatarini...
3 Reactions
30 Replies
5K Views
I am a Tanzanian Young man,aging 25,expecting to graduate in 23rd July from University of Dar es Salaam School of law,Bachelor of Laws(LL.B) I am humbly looking for an opportunity of employemnt...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
SALESMAN JOB VACANCY COMPANY:SUN SHINE GROUP LIMITED LOCATION:Morocco near Airtel building POST/POSITION:Salesman QUALIFICATION: · Full time experience at sales ground ·...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wadau nimepata email kutoka kwenye hiyo kampuni HD CO LTD iko Arusha ila mimi nina wasi wasi na hawa watu mimesearch kila mahali sijaiona hii kampuni alafu still wanatwambie tulipe tsh 10,000...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Habara wanajukwaa, naomba kama kuna mwenye updates za kazi za hawa jamaa walizotangaza hv juzi juzi kama wameshaita au bado. nimeshafanya nao interview na wakanijibu kuwa watatuita soon bt kimya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Central Line Research Associates Tanzania is a registered company with researchers with multi-disciplinary backgrounds, highly skilled in both qualitative and quantitative research methods. The...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
naomba kama kuna mtu alifanya interview infinity anipejibu kama amepigiwa simu
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Habari za asubui wanaJF Naomba kujua kuhusu uandishi wa barua pamoja na CV ni vyema kuandika kwa mkono au kuichapa? Na ni kwanini? Asanten sana.
0 Reactions
6 Replies
2K Views
wakuu naombeni msaada wenu, kuna nafasi za vodacom watu walifanya interview mwezi uliopita, tatizo langu ni kuwa kuna kijana wangu ninaishi nae, na alimaliza chuo 011, mda wote hajabahatika kupata...
0 Reactions
44 Replies
9K Views
Wanabodi, natamani sana kufanya kazi mkoa wa Katavi. Mwenye links za huko anihabarishe. Kuhusu aina ya kazi, various - education, administration, banking, research, etc. A pm will be ideal.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
We are urgently recruit interns who will be Microfranchising Pilot Project Officer and responsible to facilitate activities for the Microfranchising Pilot Project based in Arusha, to produce...
0 Reactions
16 Replies
7K Views
all details are in the PDF attachment
1 Reactions
2 Replies
2K Views
habari wanaJF,kuna yeyote mwenye updates za graduates recruitment program zilizotangazwa na hii bank ya DTB last month,je wameshaita au bado?
0 Reactions
18 Replies
6K Views
kufuatia kauli alotoa naibu waziri wa elimu kua ajira mpya za walimu ni january sawa,sasa nauliza je ni vigezo gani wizara inaangalia kuajiri walimu hao hao katika vyuo vya ualimu vya...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
LOGISTICS TRUCK MANAGER JOB VACANCY COMPANY:SUN SHINE GROUP LIMITED LOCATION:Morroco near Airtel building POST/POSITION:Logistics truck manager QUALIFICATION: · Middle logistic...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Back
Top Bottom