Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

JF Prefixes:

habari wakuu msaada jamani kwa anaeijua link hiyo.
0 Reactions
16 Replies
12K Views
Ndugu wana JF, Naomba msaada ni vitu gani muhimu vya kujiandaa kwenda kwenye interview,na mambo yanayoulizwa mara kwa mara
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Natafuta mwalimu wa kufundisha tuition ya form one mwezi April 2011. Masomo ya Physics na Maths.
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari yenu wanaJamii, Ninawazo lakukutana na watu ambao tutakubaliana nao kuweza kubrainstorm na kutafuta solutions ya matatizo mbalimbali ambayo yanaizunguka jamii yetu kwa ujumla. Nimetarget...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Asasi moja isiyo ya kiserikali NGO inatangaza nafasi zifuatazo kwa watakaopenda. 1. Project Cordinator 2. Monitoring and Evaluation Officer Eneo la kazi ni kati ya Tabora, Kahama na Singida...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Naomba msaada wa kujua mshahara wa e government agency ya tanzania mshahara kwa graduates ni shilingi ngapi?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
wadau benki ya wanawake (twb)wameanza kuita shortilist nafasi walizotangaza novemba?mwenye taarifa 2peane info.
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Haya mambo yamekuwa tayari, naangalia majina ktk gazeti la UHURU 5.12.2012, kama uliomba nafasi ya TUTORIAL ASSISTANT KTK CHUO CHA SANAA, LUGHA NA SAYANSI YA JAMII PAMOJA NA SAYANSI YA DUNIA...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
nafasi ilikuwa sales person
0 Reactions
0 Replies
584 Views
muhudumu wa lodge anahitajika nafasi ni reception. atakuwa analala hapo hapo lodge na kula hapohapo wa kutoka mikoani maana wa hapa dar es salaam ruhusa ni nyingi hatutaki. mshahara ni sh...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Location: London, UK Duration: February to July 2013 (approximately 6 months) Closing Date: 31 Dec 2012 The Communications and Public Affairs Division of the Commonwealth Secretariat is...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
DAMA MEDIA LTD invites a lady with the following qualifications to apply Education: Certificate/diploma in marketing...a degree holder will have an added advantage. Skills: Computer skills and...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
WABANTU COMPANY LTD WANATANGAZA NAFASI ZA KAZI KWA WENYE TAALUMA YA SALES AND MARKETING MSHAHARA 500000/= KWA MWEZI MWOMBAJI AWE NA UZOEFU WA KUTOSHA ,TUMA CV YAKO KUPITIA EMAIL rh@wabantu.com...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wanajamvi ndugu yangu ameitwa kazin ofisi tatu kwa mpigo , aliniuliza nimwambie mshahara wa weo ii ni kiasi gani na kazi ipi ina maslahi kwake, za binafsi au serikalini? Msaaaaaaaaaaada......
0 Reactions
24 Replies
13K Views
ndugu wadau, mwenye details nzuri kuhusu mifuko ya jamii hapa nchini, yaan mfuko wenye mafao mazuri kwa mchangiaji akiwa kazini na wakati wa kustaafu , upi mzuri kati ya NSSF,PSPF, LAPF NA MINGINE...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
ingieni kwenye web yao. hivi school of humanities inajumuisha na political science wakuu?
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Ndugu zangu naomba kujua kama watu washaitwa kwenye usaili wa nafasi za kazi kwa post ya AFISA BIASHARA DARAJA LA II NA MCHUMI DARAJA LA II ambazo zilitoka mwezi wa 5.
0 Reactions
1 Replies
3K Views
1) kwa yeyote anayetafuta kijana wa kazi saloon, anaweza kutumia vifaa vyote vya saloon, wapo watu wakumdhamini, anapatikana kwa # 0717780800 2) msichana wa kazi anauzoefu na kazi za steshenary...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
jamani hivi hizi kazi za sales person zipo vp mwenye uzoefu anisaidie
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Unajua humu jf kuna watu wapo kwa ajili ya kukashifu wachangia na watoa maada? Acheni hivyo jamani jaribu kutumia busara unavyokuwa unajibu hoja na siyo kupondo.Kama wewe unamaisha mazuri ni yako...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…