Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

JF Prefixes:

hELLO WADAU NAPENDA KAMA KUNA MJASILIAMALI ALIYEPO TAYARI ANIPE QUOTATATION YA KUNIFANYA PRINT YA TI-SHIRTS 3000 ZENYE ROUND COLLAR KWA DAR. TI-SHIRTS ZENYEWE ZITAKUWA NA MAANDISHI MBELE NA NYUMA...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
If you haven’t been getting results with your current job search, then this is the course for you! Covering effective job search strategies, the hidden job market and the truth about how...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
habari zenu wanajamvi,mimi ni mwanafunzi wa bsc economics mwaka wa tatu mzumbe,tunatakiwa kuwa field kuanzia mwezi wa kumi mpaka mwakani mwezi wa pili.nmeomba sehemu tofauti tofauti lakini kwa...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Vacancy Bulletin Intranet home | Main Page | About and Help Vacancy Bulletin Apply Online . When applying, staff members are requested to indicate on their application whether they are currently...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
MEJA GARDENING AND LANDSCAPING SERVICES is the informal company deal with provision of services regarding gardens and its accessories. Services offered include: Garden Maintenance,Garden...
1 Reactions
0 Replies
902 Views
Naishi mkoa wa mtwara natafuta ajira yoyote ya part time or permanent.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Jamani mi natarajia kumaliza chuo kikuu mwaka huu B.A in Marketing lakini ndoto yangu ni kujiajiri na si kuajiriwa ila sasa tatizo sielewi nianzie wapi kama mnavoijua elimu yetu. Nipeni somo...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Natafuta kazi mkoa wa mtwara,nina B.A(Sociology) please.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
I provide basics and advanced training on how to use Final Cut Pro 7. Contact me: richie_massive@yahoo.com
0 Reactions
0 Replies
827 Views
Salon inauzwa maeneo ya Mbezi-beach, Tangibovu, ina vitu vya kawaida tu. Bei ni 230,000/=, na kuna kodi ya mwezi mmoja imebaki. Sababu ya kupauza mmiliki anaenda kusoma. Ni jambo la haraka...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Namtafuta mtu anayeweza kufundisha MS Office kuanzia Basic hadi Expert Level.Awe na uwezo wa kujieleza vizuri kwa lugha ya Kiingereza. Wasiliana nami kwa email kilibata@iit-tz.com
0 Reactions
2 Replies
1K Views
The British High Commission has a six-month voluntary internship opportunity in its Trade and Investment Department (UKTI) beginning 01 November 2012. The successful candidate will be part of...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
hawa jamaa waltangaza kazi nika-apply so wameniita kwenye interview yao j3. nahitaji info zaidi wanashughulika na nini na kama ni watu makini. maana sisi wengine tuko mikoani so trip hadi dar...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Mimi ni kijana wa kiume mwenye miaka22, natafuta kazi ya data clerck .Nina certificate kutoka Ifakara Health Institute,Pia nina uzoefu wa mwaka mmoja nilifanya kazi hii kama 'data entry...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Natafuta house girl. naishi dar. simu 0717421196 au 0786884101. nisaidieni wana jf.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
i got diploma in customs and tax &looking for job in any company temporary or permament with experince in hotel industry and knowledge in clearing and forwading!im multipurpose:A S cry:
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari ndugu zangu hivi juzi nimesikia majina ya walioomba nafasi ya afisa tarafa yametoka mimi nipo kijijin na ninatumia cm naomba msaada wenu ndugu kwa roho safi mniwekee majina ili kama nipo...
0 Reactions
7 Replies
10K Views
Jaman tulioomba zile nafas za kazi za zaid ya 2000, utumishi, tutegemee usahili lini?
0 Reactions
16 Replies
5K Views
tatizo la ajira limekuwa sugu na sio tz tuu ni dunian kote. Wanaofanikiwa ktk maisha kwa sasa ni wajasiria mali kama sio wanasiasa. leo hii nataka niwafundishe jinsi ya kujiajiri kuwa na big...
5 Reactions
52 Replies
17K Views
ReferralTask.com Earn Money by inviting - 1$ per referral link visit
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…