Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

JF Prefixes:

Wadau naomba kujuzwa kwa yeyote mwenye yanayojiri baada ya zile written interview za GEPF na NHIF nafasi za assistant accountant wiki mbili zilizopita .Natanguliza shukrani
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Wadau mimi ni mtaalam wa IT nina uzoefu wa miaka minne kazini, natafuta kazi ya part time kuanzia mida ya saa mbili asubuhi mpaka saa nane na nusu mchana maeneo ya Dar es Salaam. Natanguliza...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Za jioni wadau,kwa muono wangu sasa nahisi hizi kazi za tech hasa za mawasiliano sasa zinaenda mwisho na watu tutafute shughuli za kufanya.Kama voda na Nsn wanaanza ku monitor network frm remote...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Nimemaliza chuo mwaka jana Ba. Business Administration nipo kwenye kampuni moja changa nafanya tempo ila wakati natafuta kazi sehemu nyingine mpaka sasa sijafanikiwa.Naomba ushauri ni sehemu gani...
0 Reactions
0 Replies
845 Views
Are you grade A teacher? Are you Diploma teacher? Your chance to work is here dont strugle any more. Would you like to work with Dar es salaam competitive schools? Teachers junction is here...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Natafuta house girl, mwenye uwezo wa kunisaidia tafadhari nisaidie. namba yangu ni 0717421196. naishi Dar es salaam. asante.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Salam zenu wakuu, how do you delete post ambayo nimeiweka ila nataka kuidelete hapa. Thanx
0 Reactions
0 Replies
697 Views
Naomba mnijuze wana JF kama kuna taarif zozote kuhusu maendeleo ya nafasi hiyo ya kszi. Ni muda mrefu toka nipeleke application baada ya tangazo la Azania Bank kulitoa through zoom tanzania.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
soma tangazo kwa umakini na rudia then post.NHIF HILO TANGAZO LA JUNE UNAWEKA SEPTEMBER
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wadau, Nimeatach nafasi ya kazi katika Tanzania Women's Bank Public Limited Company. Kazi hii haina refa wala Godfather. Ni wewe na qualifications zako tu. Lobbying of any kind kwa watu walioko...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Haya jichagulie hapo ujaribu bahati yako.
1 Reactions
20 Replies
16K Views
Nahitaji kujua zaidi ya aliyeweka tangazo la kazi NHIF coz amefanya ku paste ilhali NHIF hawajatangaz hiz nafasi. nashindwa kuhukumu mapema lakini jaribu kutizama deadline ya hizo vacancy.yatakiwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
jamani nauliza kwa wale tuliofanya interview TANAPA majibu vipi?au watu wameshaitwa kazini.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Hallow wadau, kama kuna mtu aliyepata barua ya kuitwa kazini kutoka tume naomba kujua ni lini tarehe ya kuripoti Hombolo.
0 Reactions
4 Replies
3K Views
mimi nimemaliza diploma ya community development nina uwezo wa kufanya kazi kwa ufanisi zaidi.
0 Reactions
7 Replies
2K Views
natafuta kazi ya kufundisha uchumi naombeni mnipe dili wadau.
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Matafuta kazi ya Graphic designer lakini iwe part time kama 2 hours vile poa 0716 766640
0 Reactions
0 Replies
834 Views
Na. MAMLAKA YA AJIRA TAALUMA/KADA MAJINA YA WANAOITWA KAZINI 1. HALMASHAURI YA WILAYA YA BABATI WARD EXECUTIVE OFFICER II 1. ELIBAHATI ZABLON 2. MASECHA MWEMBERI 3. MSALLA H...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
  • Closed
Anahitajika dada mwenye elimu ya form iv an vi. Awe mkazi wa dar es salaam. Offic iko magomeni mapipa. Awe anapanda gani moja kufika hapo au hapandi kabisa gari. SIFA: 1.Awe mwenye kujipenda...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Nawasalimu wakuu! Nimeguswa kuyasema haya kutokana na tabia ya watu wachache wenye viherehere humu JF vya kuponda baadhi ya opportunity zinazotolewa na wadau humu wenye mioyo ya huruma kwa wasio...
25 Reactions
49 Replies
9K Views
Back
Top Bottom