Wadau naomba kujuzwa kwa yeyote mwenye yanayojiri baada ya zile written interview za GEPF na NHIF nafasi za assistant accountant wiki mbili zilizopita .Natanguliza shukrani
Wadau mimi ni mtaalam wa IT nina uzoefu wa miaka minne kazini, natafuta kazi ya part time kuanzia mida ya saa mbili asubuhi mpaka saa nane na nusu mchana maeneo ya Dar es Salaam. Natanguliza...
Za jioni wadau,kwa muono wangu sasa nahisi hizi kazi za tech hasa za mawasiliano sasa zinaenda mwisho na watu tutafute shughuli za kufanya.Kama voda na Nsn wanaanza ku monitor network frm remote...
Nimemaliza chuo mwaka jana Ba. Business Administration nipo kwenye kampuni moja changa nafanya tempo ila wakati natafuta kazi sehemu nyingine mpaka sasa sijafanikiwa.Naomba ushauri ni sehemu gani...
Are you grade A teacher?
Are you Diploma teacher?
Your chance to work is here dont strugle any more.
Would you like to work with Dar es salaam competitive schools?
Teachers junction is here...
Naomba mnijuze wana JF kama kuna taarif zozote kuhusu maendeleo ya nafasi hiyo ya kszi. Ni muda mrefu toka nipeleke application baada ya tangazo la Azania Bank kulitoa through zoom tanzania.
Wadau,
Nimeatach nafasi ya kazi katika Tanzania Women's Bank Public Limited Company. Kazi hii haina refa wala Godfather. Ni wewe na qualifications zako tu. Lobbying of any kind kwa watu walioko...
Nahitaji kujua zaidi ya aliyeweka tangazo la kazi NHIF coz amefanya ku paste ilhali NHIF hawajatangaz hiz nafasi. nashindwa kuhukumu mapema lakini jaribu kutizama deadline ya hizo vacancy.yatakiwa...
Na.
MAMLAKA YA AJIRA
TAALUMA/KADA
MAJINA YA WANAOITWA KAZINI
1.
HALMASHAURI YA WILAYA YA BABATI
WARD EXECUTIVE OFFICER II
1. ELIBAHATI ZABLON
2. MASECHA MWEMBERI
3. MSALLA H...
Anahitajika dada mwenye elimu ya form iv an vi.
Awe mkazi wa dar es salaam.
Offic iko magomeni mapipa.
Awe anapanda gani moja kufika hapo au hapandi kabisa gari.
SIFA:
1.Awe mwenye kujipenda...
Nawasalimu wakuu!
Nimeguswa kuyasema haya kutokana na tabia ya watu wachache wenye viherehere humu JF vya kuponda baadhi ya opportunity zinazotolewa na wadau humu wenye mioyo ya huruma kwa wasio...