Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

JF Prefixes:

Wana JF, Habarini za asubuhi, naombeni kuwauliza kwa anayefahamu mshahara wa kuanzia kwa position ya Assistant Lecturer kuanzia ni sh ngapi? for both public and private Universities Pia...
0 Reactions
30 Replies
13K Views
Habari zenu, wana JF? Naombeni kuuliza kwa wale walioomba kazi TASAF au wenye taarifa yoyote kuhusu shortlisting na interview kama imeshafanyika, kimya kimekuwa kingi.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wana JF kwa anaefahamu,anijulishe hizi kazi za sales consultant wanazozitangaza Bayport ziko vipi in term of job responsibilities,job requirements,and salary
0 Reactions
9 Replies
5K Views
Anatafutwa mdada wa kufanya kaz za ndan ilala boma. Awe msafi, ajue kupika na mwenye uzoefu wa kukaa na mtoto. Mshahara maelewano.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wapendwa Wana JF wenzangu, Napenda nimshukuru sana aliyeanzisha mtandao wa Jf kwa sababu mtandao huu umekuwa kiini cha mafanikio kwa watu wengi humu ndani kwa nyanja zote kwa kutoa elimu mbali...
2 Reactions
15 Replies
3K Views
Habari wakuu, mimi ni mdau wa mambo ya environmental management specifically ktk mambo ya impact assessment na environmental protection and conservation , natafuta wadau wengine tushirikiane...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wakati wa ukoloni wawekezaji walio kuwa wanakuja awakuajiri wazawa kutokana kuwa walisema atuna elimu, Ni kweli watanzania wengi tulikuwa atuna elimu na wale walikuwa na elimu ilikuwa ni rahisi...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Habari wana jf. Ofisi inafanya renovation, wanahitajika vijana wachapa kazi wenye ndoto za kufanya kazi zao binafsi na kukua.ofice iko dar inajihusisha na kutoa huduma kwenye mashule na vyuo...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
habari! tafadhali kwa anayejua jinsi ya ku apply kwa hawa UN volunteers! kama unataka kuvolunteer! maana wametangaza volunteer ila hawajasema jinsi ya kuapply! yaani contact ama form na kwenye web...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Kila mtu ana malengo aliyojiwekea katika maisha yake na kila mmoja anaitaji maisha mazuri. vyanzo vikuu nya kipato katika maisha ya binadamu ni kuajiriwa, kujiajiri, kufanya biashara na kiwekeza...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
hamjambo wana jf,, vipi kuna mtu aliapply juz juz kale ka tangazo ka graduate kwenye zoom?? any updates?
0 Reactions
13 Replies
3K Views
ndugu, week kama mbili tatu nyuma ACB LTD walitufanyia interview kwa ajili ya post za bank taller, kwa habari za chini chini ni kwamba wameshapata watu wanao wafaa kwa ajili ya kazi zao, sasa...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Kuna kampuni iliwahi kusifika sana kwa Utengenezaji wa Air condition kama sikosei inaitwa Times. Mwenye contact zao plz nataka niwape tenda.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
anybody ameitwa rex energy?
0 Reactions
6 Replies
1K Views
WanaJF naomba msaada wenu nipate shule ya kufundisha hapa Mbeya.Mimi ni mwalimu wa masomo ya fizikia na hesabu na pia ni graduate.Asanteni sana
0 Reactions
0 Replies
968 Views
Fuatilia kwenye link ifuatayo: ReferralTask.com Earn Money by inviting - 1$ per referral link visit
0 Reactions
21 Replies
9K Views
Wanajamvi wenzangu, nimeona tangazo la kuitwa watu kwenye usaili katika sekretarieti ya ajira ya utumishi wa umma usaili utakaofanyika kuanzia tarehe 20 September 2012 hadi 5 October 2012. Kwa...
0 Reactions
13 Replies
4K Views
ingia kweye www.bot.go.tz halafu ingia kwenye job.
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Hi JF members! My friend who is an international recruiter has asked my reccomendations for below job opporturnities. You can contact me (through PM) if you want personal reccomendations or e...
1 Reactions
1 Replies
5K Views
natafuta mpishi anayeweza ku tengeneza keki za kisasa kwenye bakery. ni tumie message hapo. asante
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…