Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

JF Prefixes:

jamani nina bachelor ya political science and public administration ya udsm, natafuta kazi inayoendana na sifa zangu hapa mwanza, kwa yeyote mwenye info ya kazi let me know. thank u
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Make money online. This really works. Open the link below to learn more ReferralTask.com Earn Money by inviting - 1$ per referral link visit
0 Reactions
0 Replies
1K Views
mechaguliwa kujiunga na masomo ya udaktari 2012/2013 shahada ya 1 yani undergraduate-chuo cha IMTU kpo DAR,ada ni sh.6,250,000/= ukiachia na gharama nyingine ndogondogo km vle direct cost,bodi ya...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
hongereni mlio itwa kazini na secretariat ya ajira kwa usaili wa mwezi August 7 hadi 31. tujulishane iwapo barua tayar zipo posta kwa wakazi wa dar. www.ajira.go.tz
0 Reactions
9 Replies
8K Views
kwa waliofanya usaili secretariati ya ajira kwa mwezi august, bado hawajaita kazini? Naomba tujuzane mana tuliambiwa ndani ya mwezi na muda unazidi kwenda. Mwenye taarifa tafadhal!
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Kama unafuzu waweza jaribu bahati yako.. Communication ManagerSeptember 11, 2012 SOUTHERN AFRICAN CENTRE FOR INFECTIOUS DISEASE SURVEILLANCE (SACIDS)BACKGROUND: Southern African Centre for...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
habari wana jf..Natafuta kazi yoyote katika mkoa wa kilimanjaro au arusha au Iringa..nina diploma ya procurement and supplies mgt nimemaliza chuo mwaka jana.,.asanten
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari wana jamii kwa wale anaohitaji hudma ya printing na Photocopying, Napenda kuwataarifu kua tunatoa huduma ya kuprint na copying za kawaida, tender document, michoro ya ramani na kadhalika...
0 Reactions
0 Replies
876 Views
Mjomba wangu anatafuta nyumba ya kufanyia biashara Arusha. Kwa mtaji wake anaweza kufaya biashara ya rejareja ( vitu vya nyumbani kama vyakula nk) Nje kidogo ya mji sifa: Eneo liwe lenye Usalama...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari wana jamii mimi ni kijana wa kiume mwenye umri wa miaka 25 taaluma yangu ni kidato cha nne baadaye nikachukua ualimu wa English medium diploma 2 years na kufanya kazi ya ualimu kwa muda wa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Finance and Audit Advisor (Voluntary) - Tanzania We are currently recruiting for a Finance and Audit Advisor to provide oversight, guidance and support to Restless Development Tanzania on our...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Ndugu wana JF, mtakumbuka kuwa hivi karibuni Chuo kikuu cha Dodoma UDOM wametangaza nafasi nyingi za ajira, ambazo mwisho wa kutuma maombi itakuwa tar. 10 Sept. Leo nimepeleka barua ya maombi...
6 Reactions
16 Replies
3K Views
Habarini za majukumu. Nimeitwa kwenye interview as Sales representative. Najipanga kuhusu possible questions. Salary expected ni moja kati ya maswali. Wadau, naomba mwenye ufahamu kuhusu...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Hivi ww ni miongoni mwa ambao wanafikiria wafanye nn ili waweze kutoka kimaisha? Watu wapo wengi sana wenye ndoto nzuri za maisha wanakaa chini, wanalala na kuamka wakifikiria cha kufanya bila...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Nina imani nyote mu wazima,mie ni kijana wa kike mwenye shahada ya elimu kutoka chuo kikuu cha Dar es salaam tawi la Mliman(Mwl Nyerere campus) nimemaliza Mwaka huu.Masomo nilospecialize ni...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Disoln kwa maelezo zaidi tembelea hii likn Disoln | Facebook
0 Reactions
1 Replies
1K Views
wana JF, kuna mwenye fununu juu ya malipo ya makarani na wasimamizi wa sensa kwa siku saba za nyongeza? na ni kias gani
0 Reactions
16 Replies
4K Views
Naomba kujua et iv kupata sponsorship za hii serikali yetu kwenda kusoma NCHI ZA NJE-km vle kusomea udaktari India labda,huwa,mtu anazipata kwa kuzingatia vigezo gani,na utaratbu wa kutolewa hzo...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
wadau usaili ulio fanyika kuanzia august 6, 2012 secretariati haija ita kazini? Kama bado mbona muda unazidi kwenda na walisema tutaitwa ndani ya mwezi 1?
0 Reactions
1 Replies
2K Views
am looking for any INTERNSHIP opportunity IN ARUSHA especially ACCOUNT,AUDIT FIRM OR FINANCE DEPARTMENT.am GRADUATE OF BCOM-FINANCE(2011) now taking CPA(T) -tanx in advance wapendwa.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…