Wadau,
Wanahitajika watu wanaozungumza kugha hizo kwa ajili ya mradi wa tafsiri.
Kama wewe ni mmoja wapo au unamjua mtu anayezungumz alugha hizo tafadhali Ni PM au nitumie ujumbe kwa kutumia...
Habarini bana!! Tulianzia hapa. Ahsanteni kwa wooote mliochangia ule uzi!!
Sasa yule mshkaji wangu kumbe ni mimi mwenyewe, nilipiga simu jamaa wakaniambia boss kaondoka na atarudi baada ya siku...
Date Listed: Jun 13, 2012
Application Deadline: Jun 22, 2012
DUUH! MPAKA LEO JAMANI, NDO KUNAFANYIKA SHORTLIST AU TAYARI WALISHAANZA WATU KAZI AU NDO KASHIFA ZA NISHATI NA MADINI ZIMESIMAMISHA...
JOB OPPORTUNITY:Senior Legal Officer
Position Description:
Ref No WVT/P&C/F12/105
Job Title: Senior Legal Officer
Reports to: People and Culture Director
Location: Arusha
Purpose of the...
Apply now for 2014 masters studies in AUSTRALIA,in fields like AGRICULTURE/FOOD SECURITY,HEALTH,NATURAL RESOURCES AND PUBLIC POLICY...deadline December act fast for a better future,..,,click here-...
Tunahitaj. vijana wanao veza ku sambaza viperushi.
AU
Kama kampuni wanayo fanya kazi hii.
Plz message me !
KAZI YA Kusambaza Viperushi (Distribution of Brochures/Fliers)
Habari zenu wana JF, natumaini muu wazima wa afya! Ndugu zangun mm ni muhanga wa ajira, ninawaombeni kwa yeyote humu anaefahamu sehemu yenye ajira za Mining Engineering naombeni anijulishe. Nina...
Naomba kujua hawa jamaa wanalipaje kwa Bachelor holder pamoja na marupurupu mengine, pia kama una information zao zaidi unaweza nipa.
Naomba kuwasilisha.
wana JF naomba kuwasilisha, kama hamjui the best paying government institution may be after TRA ni LAPF (local authorities pension fund) mana hata ukiwa ni mfanyakzi wa kawaida mshahara ni mnono...
Hello wadau,
Pitieni kazi hii, na wale wenye sifa muapply.
Kazi ni kwenu sasa.
CAREER OPPORTUNITY: Maintenance Supervisor
Kabanga Nickel Co. Limited is a Tanzanian-based company managing the...
Katika search yangu nikakutana na website fulani, basi nikajionea mwenyewe kumbe inaezekana lakini ni baada ya mda kweli wa kutafuta...
Jaribu na wewe...
click the link ujionee.
IncomePart.com...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.