Kama unahitaji part time tutor in PHP an Mysql Database aruond DSM area
au una kazi inayohusiana na profession hiyo tuwasiliane kwa namba hii:
+255767 458197
Habari!
Nina shahada ya uhasibu, kwa sasa nahitaji kufanya kazi kwa kujitolea bila mshahara ili nipate uzoefu wa kazi kwa taaluma ya uhasibu,kuliko kupoteza muda bila kuongeza chochote...
wakuu heshima mbele,
naomba msaada wa kujuzwa zilipo ofisi za Proactive Employment Service (PES) namaanisha kituo cha kushukia pamoja na jengo waliopo linaitwaje,natanguliza shukrani wakuu!
haya jamani baada ya kusubiri sana ajira kwa njia halali sasa natangaza ofa ya pesa japo kiduchu tu kwa mtu atakayefanikisha kupata kazi.
changamkieni fasta wadau. Nasubiria PM zenu
1. Instructor in web design and database principles:
Qualifications;
-Must have Advanced diploma in Computer science/ Bsc. in computer engineering and IT/ Bsc. in Computer science/ Bsc. in IT...
Ndugu zangu natafuta kazi nina degree ya human nutrition pia nimesoma courses za food science and home economics, kwa yoyote anayeweza kunisaidia ani pm. shukrani.
ENERGY SERVICES LTD URGENTLY WANT TO EMPLOY A PROCUREMENT AND SUPPLIES MANAGER WITH A MINIMUM EXPERIENCE OF 2YRS.
SEND YOUR CV TO
contact@energyserviceslimited.com
Mimi nimebahatika kufanya kazi ya sensa hapa jijini Dar japo nililoshuhudia Makarani wengi wamepachikwa na wametumia majina c yao cz wamefoji Elimu hivyo wengi hawawezi kazi na wengine wamekimbia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.