Habari wanajamii,
Kwa wale wapenda maendeleo na wapenda kujifunza, naomba niwakaribishe kwenye "presentation" itayofanyika leo jengo la Millenium towers dar es salaam. Hakuna kiingilio chochote...
Job Opening number: 12-LEG-RMT-24248-R-ARUSHA (R)
United Nations Core Values: Integrity, Professionalism, Respect for Diversity
Organizational Setting and Reporting
The post is located in the...
IPA Africa Ltd. is currently expanding and securing new contracts in a range of fields, which is why we are looking for International and local specialists in the following area:
Procurement...
The International Health Division is committed to the improvement of health and healthcare delivery around the world. Serving both the public and private sectors, our efforts include health...
Jamani nisaidieni hata sehemu ya kujishikiza maana nimekaa hadi nasahau nilichosoma, nina advance diploma in accounting nimetafuta kazi sana tu, nipo mbeya,
Kwa wale wanaotafuta ajira hasa gradutes naomba mjihadhari na Tapeli huyu anaejiita Lilian Kisanga..Alitoa tangazo la Internship kwenye blog moja maarufu ,watu wakatuma CV lakini response zake...
Ndugu zangu watafutaji wa ajira, site ya zoom tanzania najua inasumbua wakati mwingine kwa kubandika kazi bila kuwa na contact aina yeyote.ikiwemo mail wala phone numbers na boz zao ni uongo mtupu...
THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA
PRESIDENTS OFFICE
PUBLIC SERVICE RECRUITMENT SECRETARIAT
Ref. Na EA.7/96/01/B/182 29
1
th
June, 2012
VACANCIES ANNOUNCEMENT
The Public Service...
Kwa wale wanaotafuta ajira hasa graduates jihadharini na huyu tapeli anaejiita Lilian Kisanga..Alitoa tangazo last week la internship Nicaragua kweye blog moja inayoheshimika..Watu wakatuma CV...
SEKRETARIATI ya ajira ilipoanzishwa moja ya lengo lake ilikuwa ni kuajiri watu wenye sifa ikiwa ni pamoja na kupunguza urasmu uliokuwa ukitokea wakati taasisi zinazojitegemea na mamlaka za...
namtafutia kazi mdogo wangu kwny mahotel amespecialize kwny cookery ,experience:workn termp time with NEW AFRICA HOTEL:she is a lady of 22yearz,;plz sana jf cal ni thru Ma no 0716474435
Soda King / Aqua King has three vacancies for the following positions:
ACCOUNTANT
Position Description:
A small start-up company with huge potential for expansion is looking for a...
Mimi nimemaliza f6 2012. . .Nimepiga pcm,naishi morogoro,nasubr kuingia chuo so huu muda wa katkat nataka nijishkize popote,yoyote anayeweza kunisaidia tafadhali.