Wakubwa ni bora ajira ingeenelea kutolewa kwenye kila taasisi maana usanii wa utumishi unatisha kwanza wao wenyewe hawana sifa za kumuiterview mtu ila wamejaa husuda tupu
Habari wana jf kuna kitu kinanisumbua katika interview nyingi kiasi kwamba naishia kujikanyaganyaga kujibu, ukiwa kwenye interview wanakuuliza "what is your weakness" unajibu vipi ili iwe correct...
Mi kijana,umri miaka 24,nina shahada ya utawala wa jamii..nimehitim mwaka jana..hv sasa nataka nifanye kazi kama sales executive ktk micro lending moja hivi,je itaniongezea uwezekano wa kupata...
kama kicha cha habari kinavyoeleza hapo juu. hii scholarship imetolewa na na TANZANIA COMMUNICATIONS REGULATORY AUTHORITY.
kama wataka jua zaidi kuhusu hii scholarship na scholarships nyingine...
Habari wanaJF!
Naomba radhi kwa kupost thread hii kwenye jukwaa hili.
Ila nimatumaini yangu kuwa itawafaa na wengine wanaotafuta kazi hasa nafasi za masters .
Fungua hii link kwa for more...
Kesho nina nterview kwa simu kwa nafasi ya kazi ya kimataifa, ni position nzuri kiimaslahi na naahidi nikipata jf lazima nitoe laki mbili kama mchango wangu.
Wandugu nimepokea msg kwenye simu inasema hivi
"Habari, Ofisi ya (Diamite Inter Company) inapenda kukupa nafasi ya kipekee, Endapo utapendelea kutumia muda wako wa Ziada kuweza kujiongezea...
Kazi za ukweli hizi hapa!
Kampuni mpya ya kigeni inaitwa Lotus Valley LTD
1. Cashiers : Education, Graduate or diploma holder, preferably in economics, finance, business administration, social...
Naomba msaada kwa mwenye kujua namba hii ya tccl 0222128620 ambayo ni ya dar es salaam
ilinipigia jana jioni, nimejaribu kuitafuta naona kama ni ya fax vile, nahofia nisije kukosa usahili
nilikuta...
nimefanya interview nyingi nyingine nimefanikia kabisa na kutumiwa mpaka sms za congratulations na kuwa wataniita after same days sasa miez cta cjaitwa jamani nifanyeje? No capital,?? No...
Nafasi za kazi kwa walinzi 100 katika kampuni ya New Imara Security Co. Ltd. 06/07/2012
KAMPUNI YA NEW IMARA SECURITY CO.LTD INAHITAJI WALINZI 100 WENYE SIFA ZIFUATAZO;
1. 1. AWE MTANZANIA...
Job Description
Forum Syd Africa
2012-06-20
Title: Project Support Officer for Eastern and Southern Africa
Duty Station: Forum Syd Nairobi office, Kenya with frequent travels in the region...
Wapo vijana wengi mitaani wenye elimu nzuri tu na uadilifu kuliko hata waalimu. wako mitaani hawana kazi ya kufanya kwa sababu Serikali yao haiwatumii. Zipo kazi nyingi tuu kama vile za NIDA...
Ama kweli mwenye nacho ataongezewa na asiyenacho atanyang'anywa hata kile kidogo alichonacho hivi karibuni mh Pinda wakati akisoma bajeti ya wizara yake alisema zoezi la sensa litafanywa na walim...
Access vp watu waliofaulu interview zenu jamani tunasota nyumbani hatuna faraja cku zinapita tu tupeni hata tumaini basi tujue mtatuchukua lini.au ndio mmetutosa jamaniii????
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.