Nina degree ya law,nimepata kazi ya Afisa mtendaji kata II, salary TGS D, pia leo nimepigiwa simu nikajiunge na JWTZ kwa kupitia JKT kwanza 6 month, naomba ushauri wapi pazuri zaidi. ile afisa...
.
HI JAMII FORUM.
ITS MA HOPE YOU DALL OING GOOD.KUTOKANA NA UKOSEFU WA AJIRA NCHINI,NDUGU YENU NIMEAMUA KUJIAJIRI HUSUSA KATIKA cha mawasiliano,MTANDAO WA MAWASILIANO ya kampuni TIGO!KWA KUWA NI...
hivi isu ya job vacancy inapowekwa zoom baada ya kama siku kadhaa unakuta ile list imetolewa maybe hata deadline ya ile vacancy haijapita ina maana gani!!
Naomba kunijuuza kwa mtu anaye wafahamu walipo company inayoitwa LOTUS VALLEY.Sorry kama nimekosea kuandika lakini inatamkwa (Lotas Valley).AHSANTENI KWA MSAADA WENU.
Ningependa kupata ushauri kutoka Zoom,mimi npo chuo kikuu ndo naingia mwaka wa 3 nasomea Business Administration in Accounting, session ya jioni,je kama tangazo la kazi limetoka linamtaka mtu...
jiulize kama utakoswa wewe kuna ndugu zako wataingia katika uhu mtego wakati wa kutafuta ajira kila mewzi kama watafanikiwa kukamata wazembe wa kufikiria 50*25000=watavuna 1,250,000 .....hawa...
"Applicants for entry levels currently employed in the Public Service should not apply, they have to adhere to Government Circular Na. CAC. 45/257/01/D/140 dated 30th November 2010"
AU
"Waombaji...
*A New luxury lodge is looking for suitable Tanzanians for the following
positions:-*
*
*
*1.Lodge Accountant.*
Looking for a smart hard working Accountant for small 5 star exclusive...
Aga Khan University seeks well qualified and matched candidates for the
following two roles:
Please send your CV and cover letter to:
HR.TIHE@AKU.EDU
Position: Site & Office Manager *...
Wadau naomba mwenye uzoefu na hz interview n maswal gani ambayo natakiwa ku uliza endapo nitaewa nafasi na pannel nitakapo kuwa kwene interview. plz maswal ambayo ni general
Natafuta mtu aliyetayari kufanya kazi kwa kutumia muda wake wa ziada pasipo kuingilia muda wake wa kazi zake za kawaida. Pia atajipatia kipato cha ziada nje ya mshahara wake! Iyo kazi ni network...
Tunahitaji vijana kwa ajili ya kuuza bidhaa zetu (vitabu) kwa kutembeza mtaani ( kwenye maofisi, mabaa, vyuoni, barabarani, njiani nk). Kwa wanahitaji , tafadhali wasiliana nasi kwa:
La VIVA...
Mtakumbuka kuwa nhc walitoa nafasi mbalimbali za kazi tangu mwezi wa 4 moja wapo za nafasi ikiwa ni zile za call centre supervisor, naza uhasibu.
Naomba kujuzwa vipi kuna watu walishaitwa kwenye...
Hello!Nmehtim shahada ya kwanza biashara ktk menejment ya utalii & ukarimu hvi karibun!Nipo "vizuri" ktk fani yng kijumla, kwa sasa NAHTAJI TEMPORALY JOB hata kfundsha colleges" Mwny ushauri wa...
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 23,nitakuwa likizo kwa muda wa miezi miwili kama kuna kazi itatokea inahitaji dereva niko tayari kufanya kazi kwa makubaliano.
Ni mwanachuo chuo kikuu cha...
Kampuni mpya ya Ulinzi, Usalama na Inteligensia inakaribisha maombi ya watu wachache wenye sifa zifuatazo:
1. Jinsia: Kiume na Kike
2. Umri: Miaka kati ya 20 na 30
3. Elimu: Kuanzia Form IV na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.