Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

JF Prefixes:

Samahani kwa usumbufu.Jana nimetupia humu tangazo la Wakala, sasa nasikitika kuwa nadhani sijaeleweka kwa walio wengi maana napata call nikiwa kana kwamba mimi na KAMPUNI yangu mawakala, La hasha...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Human Resources Officer Crrystal Human Capital Deadline: Jul 18, 2012 Branch Manager Security Group (T) Limited Deadline: Jul 19, 2012...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
sisi tuna kampuni ya uuzaji wa vitu vya handcraft na handmade product kwa watalii na tuna maduka ktk maeneo ya utalii huku zanzibar tunahitaji mbia wa kusaidia katika biashara yetu kwani tunataka...
0 Reactions
0 Replies
804 Views
Ckuwah kuimagn kuwa unaweza kunyang'anywa kaz hv hv, nilipata kaz kwny kampun moja ya cm cha ajabu cku ya kuanza training 2kaambiwa 2fanye interview jaman kazi hzi, kumbe walishatuchakachua.
0 Reactions
42 Replies
4K Views
A client is looking for a Project Manager/Coordinator for a an annual contract position, with potential for extension. Qualities needed: - Great attention to details and excellent follow...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Kwa mwenye taarifa ya shirika lolote linalolipa mshahara mzuri au kampuni Mimi nina taaluma mbili 1. ni mwalimu kada niliitumikia kwa muda mrefu na naendelea kufundisha shule za msingi. 2. Mimi ni...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
We are looking for a freelancer experienced and capable graphic designer to develop very high quality, creative and at affordable prices online marketing collaterals such as e-flayer ,e-brochures...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari Wakuu Am Freelancer Graphics Designer Mkali wa kutosha katika Illustrator, Photoshop & indesign-ADOBE CS anza na Magazine pagelayout, banners, posters, promotional adv au taja mwenyewe...
0 Reactions
0 Replies
856 Views
Hi all, I'm pleased to invite you into a meeting that can change your life into something you have never imagined. It's a two-hour free of charge meeting that will have you thank me a lot for...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari wana JF, Naomba kujua kuhusu kujiunga na Jeshi la wananchi (JWTZ), kwan ni muda kidogo sikuwepo humu jamvini. Cha muhimu naomba kujua kama tayari nafasi zilisha tolewa au bado na kama...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kila nkipeleka nyaraka zangu wakubwa wanapotezea tatizo langu badala yeke wanarise interest kwangu na kunisumbua bila mafanikio jamani hivi mpaka lini wakat wao ndio wameshikilia makali ????Jamani...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Ndugu wana JF napeda kutanguliza shukrani zangu za dhati kwenu kwa jitihada za kusaidiana pamoja na kuelimishana kwenye nyanja tofauti. Mimi nina ombi moja hapa, mimi nimemaliza ARDHI UNIVERSITY...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Anahitajika kwa part time bases awe na uzoefu wa kuedit nyimbo za Injili kwa ubora wa hali ya juu. tuwasiliani: 0685479979
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kuna rafiki yangu aliitwa kwenye usaili na mara alipomaliza offisi iliona anafaa na hivyo kumwajili, siku ya kwanza tu ya kuriport kazi alipaswa kusema angependa alipwe sh ngapi kama mshahara...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kama wewe ni msichana (umri chini ya 35), umesomea fani hii, na upo tayari kufanya kazi nje ya nchi, Middle East Tengeneza CV na passport. Halafu niiandikie message (usipige simu tafadhali) +255...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jamani inakuwaje unapoomba kufanya field sehemu,unakuta wahusika na sababu nyingi na wengine wanasema hawana nafasi kabisa,wanachokiogopa ni kipi?
0 Reactions
31 Replies
5K Views
Jamani hiyo post wameishaanza kuita interview mwenye info tusaidiane
0 Reactions
1 Replies
2K Views
I am currently working in Government. Contact +255756904197, aloysmakunja@yahoo.com
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Dear jf members! I'm lookng for job,wether its permanent,temporary or volunteer. Bsc.Usimamizi wanyama pori ndo my career. Natanguliza shukran zngu za dhati kwa kejeli(jokers)zote...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Usaili uliokuwa umekamilika na leo, na form vi Art ndo wanatangulia monduli kuanza mafunzo na waliobaki watatakiwa kwenda Januari mwakani. Cha kushangaza usaili ulipokuwa ukikaribia mwisho kuna...
0 Reactions
14 Replies
5K Views
Back
Top Bottom