Kampuni mpya ya Ulinzi, Usalama na Inteligensia inakaribisha maombi ya watu wachache wenye sifa zifuatazo:
1. Jinsia: Kiume na Kike
2. Umri: Miaka kati ya 20 na 35
3. Elimu: Kuanzia Form IV na...
SIFA
1.Awe na leseni ya class C
2.Awe ana park maeneo ya posta au Ubungo terminal
3.Alete hesabu kwa wiki sh laki 1
4.umri kuanzia miaka 35 to 60
5.Nitapendelea awe anaishi mitaa ya tabata...
Wakuu,
Juzi jumatatu nimetumiwa sms ikinielekeza nikacheki kwenye email yangu kuna mail nimetumiwa inayohusu maelekezo ya ajira katika kampuni ya GBM (GLOBAL BUSNESS MACHINE) niliingia kwenye...
Habari wadau kwa wale tuliapply hii post ,jamaa wameshapigiwa simu kwa waliofanikiwa,kama bado basi tumekuwa unsucessfull,interview wanafanya jumatatu
ila tusihofu kwa tuliokosa kama ipo ipo tu
Wakuu heshima mbele!
Mimi ni kijana ambaye nimehitimu elimu ya chuo cbe dodoma. Nimeona nije kuomba ushauri au mbinu mbadala ya kuweza kupata ajira japo sina experience. Wakuu ni muda sasa toka...
I have a 27 yearz old cousin with an Advanced Diploma in Accounts (ADA), Post Graduate Diploma in Financial Management (PGDFM) and a Masters of Science in Finance (Msc-fin) fresh from school with...
jamani kwa wale wenzangu na mimi mnaosubiria ajira za jeshi,nimepigiwa simu niende makao makuu ya wizara ya ulinzi kuwa nimechaguliwa kujiunga na jeshi kambi ya kigoma na niandikapo thread hii...
leo nimerudisha ile form ya kuomba kazi ya sensa.daaah!!!nilicho kikuta huko,yani watu ambao tayari wana ajira zao nao eti wamepeleka maombi yao.jamani si mtuachie hata na sisi ambao hatuna job...
Nafasi za kazi TaCRI, African Barrick Gold, TPA, Benjamin Mkapa HIV Foundation etc:
BWM HIV FOUNDATION
1.HEALTH SERVICES DELIVERY PROGRAM MANAGER
2. HEAD -RESOURCE MOBILIZATION
Tanzania Ports...
katika hali ya kushangaza unapita ktk kampuni fulani kwa malengo ya kutafuta kaz,ila shida inakuja kwa wadada wa reception.anakuambia hapa kazi hakuna na huwa hatuajili.sasa cjui yeye kafikaje...
kwa wale wataalam wa cm,ninacm yangu aina sonyericson w705 imekataa kufungua internet,kila nikiiseti inaniandikia niwacliane na servc provide! Help pls.
Sifa:-
1) Awe na ujuzi wa kutosha husiopungua miaka 2
2) Awe mtaratibu na mwaminifu
3) Awe na uwezo wa kunyoa nywele aina zote yahani za kiafrika, Kihindi, Kizungu, kisomali nk
4) Awe anakaa...
Heshima kwenu wakuu,
Tafadhari naombeni kwa anayejuwa ni wapi au kampuni ipi wanahitaji mtafsiri wa lugha ya kiitaliano, mimi ni mzungumzaji na mwandishi mzuri katika lugha hiyo.
naomba kuwasilisha
WAUNGWANA HABARI ZA ASUBUHI
nina andika habari hii huku nikiwa na machungu kabisa kwani na mimi ni muhanga wa haya matatizo ya tume ya ajira. nakumbuka mwaka jana tulipofanya intavyuu ya NAO (...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.