THE WORLD BANKProcurement Specialist
Deadline: 02/08/2012
Link:
THE WORLD BANK | INFO TANZANIA
WESTERN INDIAN OCEAN MARINE SCIENCE ASSOCIATION (WIOMSA)Coordinator Research Programs
Deadline...
Wadau nashukuru sana jf imenitoa, nimepata kazi kupitia mojawapo ya tangazo nililoliona humu, nikaitupia sasa nimelamba ajira, sio kazi rahisi coz nimetupia apllication 83 online, 31 za kupitia...
Salaam,
Nikiamini kuwa Mola ni mkarimu na mwema kwetu kwa kutujaalia afya, uzima na uhai hata muda huu. Ni mapenzi yake ya dhati ambayo kamwe binadamu hata wawe wema kiasi gani hawawezi...
Ni kijana mdogo tu ambae kimsingi anahitaji msaada kwa wenye uwezo wa kusaidia. Mie, nimejaribu hadi pale nilipoweza na kinachohitajika kwa sasa ni yeyote mwenye uwezo na moyo kusaidia pale ambapo...
CAREER OPPORTUNITY
World Vision is a Christian Development, Relief and Advocacy Non Government Organization dedicated to working with children, families and communities to overcome poverty...
Kijana wa kike mwenye ujuzi wa computer na photocopying skills anahitajika Morogoro Mjini.
Awe mchangamfu, mwaminifu, mwenye uwezo wa ku-interact na watu wa rika na aina tofauti bila matatizo...
habari zenu wana jf,...! Nimemaliza chuo(adivance diploma in marketing)natafuta kazi!msaada jamani,japokuwa huwa natembelea hum na nimeona kuna watu wamenufaika kwa kupata ajira!asanten
Wakuu, jamani wanaposema wanataka utume maombi ya kazi kwa njia ya barua pepe, hivi unapoandika barua ya maombi (cover letter) ile sehemu ya kusign mm mwombaji unaacha au una iprint halafu...
nafasi za kazi brac arusha na mwanza ni
1) Accauntacy nafasi 4, arusha.
-degree/diploma ya accauntacy
2)Afisa mikopo nafasi 24, nafasi 15 arusha, nafasi 9 mwanza
sifa za amwombaji
- awe na...
East coast College is looking for a female administrator
JOB SPESIFICATION
filing
answering calls and inquires
printing
SKILLS NEEDED
English
Basic Computer Applications
if intrested...
Wadau wenzangu ninaomba kwa mwenye gazeti la daily news la tarehe 24th july 2012 atubandikie hapa ktk ukurasa huu,kwani kuna nafasi mbalimbali za kasi za tasaf,nmb and etc ,please nimesaka jana...
VACANCY ANNOUNCEMENT No. FRURT 005-2012 National Consultant UNREDD Monitoring Reporting and Verification (MRV-Expert) The United Nations Collaborative Programme on Reducing Emissions...
Hivi hawa wezi hawajakoma tu ona email walionitumia.
Beloved,
Let me first introduce myself to you My name is Zenab Justin Yak, 24years old originated from Sudan. I really want to have a good...
KATIKA PITA PITA ZANGU NIMEKUTANA NA KAZI HII.... LAKINI BINAFSI IMENISHINDA KWANI WAMENIOMBA HELA £10. NDIPO WANIAJIRI... NA MM NI JOB HUNTER SINA IYO PESA... KWA ATAEPENDA INGIA HAPA...
habari za jioni wapendwa..samahani mi nimehitimu mwaka jana chuo ,nisaidie katika kazi tafadhali
1.nimesomea journalism with mass communication
2.nimesomea kozi maalumu ya NEW AND SOCIAL...
Mimi ni msichana ninaependa kujituma na ninaelimu ya chuo niko tayari na ninauwezo wa kufundisha masomo ya arts naishi Dar es salaam. pliz msaad ktk hili
MK CIVIL CONSTRUCTION AND BUILDING CONTRACTORS LTD.Kindly looking for a registered civil engineer for more information.lets contact at propertysolutiontz@gmail.com
Mnamo tarehe 29 june 2012 nilikua mmoja kati ya Shortlisted applicants tuliofanyiwa usahili Ofisi za Sao Hill Mafinga Iringa,nahitaji kujua kama tayari wameshaita majina ya waliofaulu usahili.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.