Kuna mradi ya kusaga,kukoboa, kupaki na kuuza nafaka utaanza mwezi september mwanzoni, anahitajika meneja mwenye uzoefu na kazi hiyo, kazi itakua hapa Dar es salaam.
Pia anahitajika mtu mwenye...
Jaman nimetafuta kazi za IT nimekosa lakini ni muitimu wa Bsc Comp science UDSM,naweza fundisha masomo hayo na comp application kwa mtu anayejua wapi naweza pata kazi ya uwalimu pls ni PM.
Ninahitaji kumuajiri House Girl wa umri wa kati ya miaka 15 hadi 25, ambaye hana mume wala mtoto, na pia asiwe na mashetani/majini. Kituo cha kazi ni Dar es Salaam, na malipo tutakubaliana na...
Wadau kwa kampuni au ofisi inayohitaji dereva mzoefu, ana cheti cha NIT,uzoefu magari makubwa na madogo.Atumie namba hii kwa mawasiliano zaidi.0659132664.
The United Republic of Tanzania
Presidents Office
TANZANIA SOCIAL ACTION FUND
EMPLOYMENT OPPORTUNITIES FOR TASAF III
ADVERTISEMENT OF THE VACANT POSITIONS
The United Republic of Tanzania has...
vp tuliofanya manager's interview, wapo walioitwa patners wapo walioambiwa wamekosa mbona ss wentuajaambiwa ki2?
kuna m2 mwingine ambaye hajajibiwa jamani?
Habar za kazi wapendwa?Mimi ni mhitimu wa chuo kikuu mwaka huu bachelor of education ktk arts subjects nataman kufanya kazi kwa kutumia elimu yangu hii ila sio kufundisha je inawezekana na ni kazi...
NDGU wadau particulary job seekers, kwa habari nlizo zpata hv pnde ni kwamba tume ya sensa imekaribisha maombi kwa walio na kaz na wasio na kaz so ka vp tujarbu bahat zetu
Host your website with us and GET FREE DOMAIN! .com, .net, .org,.mobi, .info.
7500 Free Website Templates(joomla,css,wordpress)
Tsh 50,000/=
Contact:
Arusha complex city 3rd Floor, Room no 21...
Heloo wanajamvi, natafuta kazi za video editing na motion graphics designing, natumia 3ds max na After effect, nadisign logo na kufanya graphics za uhakika. twaweza kuwasiliana kwa email...
wanajamvi tunaomba msaada. Kuna jamaa yangu anahisi kudhurumiwa kwani aliingia mkataba na kampuni fulani ya utafiti akapewa mkataba wa miezi sita akawaanalipwa mshahara na posho ya kuwa nje ya...
Kuna jamaa yangu alifanya usaili, sasa jana
kaambiwa na mtu anayedai anafanya kazi kwa hiyo
ofisi kwamba inabidi atoe hela kwanza ili aweze
kupewa hiyo ajira. Huyo mtu inaonekana amepata details...
Host your website with us and GET FREE DOMAIN! .com, .net, .org,.mobi, .info.
7500 Free Website Templates(joomla,css,wordpress)
Tsh 50,000/= ($32) per year
Contact:
Arusha complex city 3rd...
hv advance diploma in acountancy si ni equivalent to course nyingne za degree za acountancy au? Asa inakuwaje kaz inatangazw a af wanasema advanc dplm wl nt b acepted!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.