Salaam wadau!Kuna kazi imetangazwa na hawa jamaa wa RTI international kupitia daily news ya 31st May, 2012 according to zoomtanzania.com, bt kwenye tangazo lilowekwa zoom hawajaweka email...
Jamani marafiki natafuta kazi ya receptionist au customer care au yoyote inayohusika katika ofisini. Elimu yangu ni ndogo tu ni certificate ya shipping and port operation. Napenda sana...
wadau anayefahamu application email address ya US Peace Corps Tanzania! nataka kufanya aplication niliiona email adress yao asubuhi humu kwa sasa siioni! au ile web ya youthjobs nicheki! wadau...
Wakuu mwenye taarifa anijuze wiki tatu zimepita tangu nifanye oral interview pale Bot.Tulikuwa kama 15 hv tuliofanya hio interview naomba kujua kama wameshaita plse mwenye taarifa anijuze
It's fairly simple to acquire information about what to include in your CV. Generally speaking, the basic requirements of a resume are almost common knowledge. For instance your employment...
East Coast College is looking for an accounting teacher on a part time basis if you are interested please send your cv to mujeeb986@yahoo.com or mujeeb.kanji@eastcoastcollege.org
Mimi ni mmojawapo wa watu tuliofanya interview huko wilaya ya Iramba na walidai kuwa wangetujulisha baada ya wiki moja kupita. Naona wiki imepita na bado kimya, kama kuna mtu ana taarifa zozote...
1
TANZANIA PETROLEUM DEVELOPMENT CORPORATION
CAREER OPPORTUNITIES
Tanzania Petroleum Development Corporation (TPDC) is a National oil company
dealing with Oil and Gas exploration, development and...
Habarini ndugu zangu! nawaombeni kwa mtu yeyote aliye na update za nafasi za kazi za mining naombeni anijuze! nina Diploma in mining engineering and Iam able to work on both surface and...
Siichukii hii tume ya ajira inayosimamia kuwaajiri wafanyakazi wa serikali kuu na taasisi zake.
Ila kinachonipa hofu na mashaka ni hili sharti la kwamba nakala za vyeti utakavyoambatanisha na...
Nahitaji Baby Sitter, Awe Msichana, MSafi, Muelewa na Mwenye kujua mahitaji ya watoto. Atakuwa anakaa na Mtoto wa kike mwenye umri wa mwaka mmoja katika muda wa kazi ( Saa 2 asubuhi mpaka saa 11...
Kwa wale waliofanya written interview ya Nationa Audit Office Sept 2011 waliambiwa kuwa Sekretariet iliamua kuita watu wengi ili iwaweke kwenye Database wale watakaofanya vizuri na litakapotokea...
Tarehe 3 June, nisiku ya wale waliopata kazi ya Customs Officer ku report Institute of Tax Administration.
Wadau naomba kama kuna yeyote anejua hata kwa umbali utaratibu mzima pale utakuaje kwenye...
rchugga updates inatafuta wanachuo ambao wako tayari kujituma kutafuta habari zinazoshika katika mikoa, chuoni na mazingira waliyoopo..
kwa mawasiliano zaidi, tembelea tovuti yetu...
Jamaa walitoa vi-nafasi. Nimekuwa nikifatilia magazetini mpaka sasa naona hata nauli inakuwa shida, ukizingatia napenda kufutilia mambo haya gazeti la Mwananchi = 800/= @. Mwenye taarifa za lini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.