Ndg zangu, natafuta kazi mimi siyo msomi mwenye vyeti wala Cv elimu yangu sikufanikiwa kumaliza elimu ya sekondari, kuna watu najua wana kazi zinazotufaa sisi wenye elimu kama yangu kama unayo...
Alhamdullah, wana JF na mie nimepata kazi kwa kupitia matangazo ya humu.
Nawashauri sie tusie na marefa ukiona tangazo we tuma na umuombe Mungu tu, maana mie huu ni mwaka wa nne tangu nimalize...
I have been in World Ventures since 18 march. And, I am looking to build a dynamic team. Interested? Contact me. is really interesting and success....
denniskanuti@yahoo.com
Kazi kwenu watanzania
Campaign Manager Mama Misitu Campaign Tanzania Natural Resource Forum -Dar Es Salaam
Financial Manager Mama Misitu Tanzania Natural...
Wana jamii,KPMG is now recruiting new staff members.
If you are interested in working in the field full of professionals in Tax,Audit and Advisory KPMG is the right place for you.
You can...
mimi na rafiki yangu tuna wazo la kuanzisha firm itakayo kuwa ina husika na mambo yafuatayo
1. Kufanya researches kwa niaba ya makampuni flani au organizations flani.
2. Shughuli za consultance...
Wanabodi
Mnaweza kujaribu bahati zenu.
Kazi hii ya TARIPA chini ya Mradi wa NAFAKA ambao unafadhiriwa na USAID ni kama muendelezo wa SAGCOT na Kilimo Kwanza kwa Mapana yake
Nitakuja na address...
Habari zenu wadau.Mimi ni mpya ktk ukurasa huu.Ninatafuta kazi ya kufundisha masomo ya lugha shule za private au vyuo mkoa wa Dar es Salaam.Uzoefu wangu wa kazi ni miaka 3.Vilevile ninaomba kama...
Hatimaye mchakato wa kuchagua watakao ingia kwenye oral interview umekamilika, ni baada ya matokeo ya mitihani iliyo fanyika jana hasubuhi/saa mbili na nusu. Hapa vimemo vipi?
UNITED NATIONS DEVELOPMENT PROGRAMME
Position: Finance and Operations Manager, Un Women
Education/Qualification: Atleast 5 years of relevant Experience at the national
Position: Driver, Unwomen...
Natafuta kazi ya ualimu katika jiji la dar es salaam. Nina uzoefu wa miaka mitatu na nina diploma ya ualimu wa sekondari katika masomo ya history na geography. Vile vile nina uwezo wa kufundisha...
wadau,
natafuta mfanyakazi kuja kufanya kazi kwenye internet cafe moja ipo Tabata Kimanga. Naomba mfanyakazi huyo awe ametokea kimanga mwisho wa mabasi yanapogeuzia. Awe anafahamu computer...
Yule shujaa wa kuchukua mali zake kama mtanzania, OCD (w) serengeti al;iyekamatwa na mhifadhi wa serengeti, amevuliwa madaraka yake huku daraja la utumishi likibaki vilevile. Kamanda Boazi...
Wandugu wa JF , kwa wale waliofanya second interview VETA; Nakumbuka walisema watawajulisha watu in two weeks.Je kuna waliojulishwa??maana two weeks imeisha toka last week na sasa tupo week ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.