Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

JF Prefixes:

Ndg zangu, natafuta kazi mimi siyo msomi mwenye vyeti wala Cv elimu yangu sikufanikiwa kumaliza elimu ya sekondari, kuna watu najua wana kazi zinazotufaa sisi wenye elimu kama yangu kama unayo...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
ninatafuta kazi yoyote ile nina bachelor ya sociology mwenye nafasi yoyote ile ani PM asanteni.
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Alhamdullah, wana JF na mie nimepata kazi kwa kupitia matangazo ya humu. Nawashauri sie tusie na marefa ukiona tangazo we tuma na umuombe Mungu tu, maana mie huu ni mwaka wa nne tangu nimalize...
14 Reactions
26 Replies
3K Views
I have been in World Ventures since 18 march. And, I am looking to build a dynamic team. Interested? Contact me. is really interesting and success.... denniskanuti@yahoo.com
0 Reactions
4 Replies
1K Views
wenye sifa kazi kwenu....
1 Reactions
3 Replies
4K Views
Nafasi za kazi hizo za wale wanaotaka kuwa ma manageres kwa maelezo zaidi nenda kwenye site na kazi zaidi nenda TAYOA Employment Portal
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kazi kwenu watanzania Campaign Manager – Mama Misitu Campaign Tanzania Natural Resource Forum -Dar Es Salaam Financial Manager – Mama Misitu Tanzania Natural...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wana jamii,KPMG is now recruiting new staff members. If you are interested in working in the field full of professionals in Tax,Audit and Advisory KPMG is the right place for you. You can...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
mimi na rafiki yangu tuna wazo la kuanzisha firm itakayo kuwa ina husika na mambo yafuatayo 1. Kufanya researches kwa niaba ya makampuni flani au organizations flani. 2. Shughuli za consultance...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Wanabodi Mnaweza kujaribu bahati zenu. Kazi hii ya TARIPA chini ya Mradi wa NAFAKA ambao unafadhiriwa na USAID ni kama muendelezo wa SAGCOT na Kilimo Kwanza kwa Mapana yake Nitakuja na address...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
natafuta kazi yoyote ile,which can make me meet ma life needs! nna BSc. EDUCATION
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari zenu wadau.Mimi ni mpya ktk ukurasa huu.Ninatafuta kazi ya kufundisha masomo ya lugha shule za private au vyuo mkoa wa Dar es Salaam.Uzoefu wangu wa kazi ni miaka 3.Vilevile ninaomba kama...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Hatimaye mchakato wa kuchagua watakao ingia kwenye oral interview umekamilika, ni baada ya matokeo ya mitihani iliyo fanyika jana hasubuhi/saa mbili na nusu. Hapa vimemo vipi?
0 Reactions
9 Replies
5K Views
UNITED NATIONS DEVELOPMENT PROGRAMME Position: Finance and Operations Manager, Un Women Education/Qualification: Atleast 5 years of relevant Experience at the national Position: Driver, Unwomen...
2 Reactions
2 Replies
2K Views
Tafadhali kwa yeyote anayetaka kujiondoa toka kwenye umaskini a-click link hii hapa http://signup.wazzub.info/?lrRef=314013d8
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Natafuta kazi ya ualimu katika jiji la dar es salaam. Nina uzoefu wa miaka mitatu na nina diploma ya ualimu wa sekondari katika masomo ya history na geography. Vile vile nina uwezo wa kufundisha...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
wadau, natafuta mfanyakazi kuja kufanya kazi kwenye internet cafe moja ipo Tabata Kimanga. Naomba mfanyakazi huyo awe ametokea kimanga mwisho wa mabasi yanapogeuzia. Awe anafahamu computer...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
am 22 yrs old am a degree holder wt a proff. of Public relation and marketng..my contact (raphaeldoreen@yahoo.com)
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Yule shujaa wa kuchukua mali zake kama mtanzania, OCD (w) serengeti al;iyekamatwa na mhifadhi wa serengeti, amevuliwa madaraka yake huku daraja la utumishi likibaki vilevile. Kamanda Boazi...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wandugu wa JF , kwa wale waliofanya second interview VETA; Nakumbuka walisema watawajulisha watu in two weeks.Je kuna waliojulishwa??maana two weeks imeisha toka last week na sasa tupo week ya...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…