Jamani ee.. Mimi ni kijana,umri miaka 24! Natafuta kazi lakini iwe ni hapa hapa Jijini Dsm.
Kama unajisikia plz tuwasiliane. Cv yangu ni the way nitakavyoelezea kwa mdomo na kupractice only...
Leo tarehe 7 march 2012 kwenye gazeti la mtanzania,zimetangazwa nafasi 150 za uhakimu wa mahakama ya mwanzo..sikubahatika kununua gazeti hili as yamegombaniwa sana yakaisha mapema,so anuani ya...
THE AGA KHAN UNIVERSITY
Position: Accountant
Education/Qualification: Bachelor in Accounting/Finance
Detail: Mwananchi 21 march 2012, Deadline 03 April 2012
Contact: P.O.BOX 125 Dar es salaam...
IMEFUNGULIWA OFFICE YA KISASA YA M-PESA HAPA TEMEKE JIJINI DSM.TUNAHITAJI WAFANYAKAZI HODARI WENYE UZOEFU WA KAZI NA WALIO MAKINI NA KAZI.
SIFA ZA MWOMBAJI
1.AWE MSICHANA WA MIAK KATI YA 18 MPAKA...
habari za saizi wana jamvi yupo kijana mwenye umri wa miaka 23 amemaliza kidato cha nne anaitaji kazi yeyote ya kufanya kwa anyehitaji ani PM kwa maelez zaidi.
DAR ES SALAAM UNIVERSITY COLLEGE OF EDUCATION
Education/Qualification: Must be Holders of Postgraduate/Professional Diploma/Master's degree in public Administration/Management/Sociology/Human...
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
OFISI YA RAIS
SEKRETARIETI YA AJIRA KATIKA UTUMISHI WA UMMA
Kumb. Na. EA.7/96/01/B/26 21 Machi, 2012
KUITWA KAZINI
Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma...
Background
SOTTA& Partners ConsultingLtd (SPC) is aquality-driven Records and Information Management Consultancy company dedicatedto devise cutting edge solutions and services in helping...
Hi, Members kindly assist me to know the exactly professional of my friend as he has got the following Qualifications;
1. Diploma in Electronic Engineering.
2. Bachelar of Commerce in...
You can apply for any of the vacancies below.
Jobs at African Union in Tanzania
Jobs at Land O'Lakes International Development in Tanzania
Job at Management Systems International in Tanzania...
Ebu changamkia hizi wadau, deadline tar 23 March, ckuziona hapa jamvini
http://www.tra.go.tz/index.php?option=com_content&task=category§ionid=10&id=21&Itemid=59
Requirements:
Bachelor's Degree (Master's preferred) in Business Administration Resources, Public Administration or related field required
Job Description:
Manage...
Wana JF kwa yeyote yule mwenye kutaka kujiajiri na Nertwork Marketing naomba aniinbox ili nimuunganishe kwa mtu ninayemfahamu. Seriously hii bisness inatengeneza hela ila inahitaji mtu uwe...
Umri----18-28
jinsia----ke
elimu-- secretarial course at least awe ana speed ya kuchapa kazi
sifa nyinginezo--- awe na heshima, muaminifu na mchapakazi.
Awe anaishi maeneo ya tegeta/ bunju-----...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.