Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

JF Prefixes:

Edgepont Dieter's ni club ya kupungua mwili ambayo hupika vyakula vya diet na kukuletea nyumbani au kazini. Breakfast, lunch na dinner ni kwa shilingi 8,500/= tu. Tuna 'Edgepoint 14 day diet'...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Hivi tanapa wanaita watu baada ya muda gani?au ndio mpaka tusahau ndio waanze kuita.?
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Anahitajika mkalimani anayejua lugha ya kiarabu na kiingereza haraka sana. kazi ni kuwaongoza wageni kutoka uarabuni kwa muda wa siku 3 kuanzia mchan huu. anayeweza kazi hii haraka an PM
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Kwa kuwa ndo nimemaliza tu chuo mwaka jana, naomba mtu anayetaka nifanye kazi kwake kwa kujitolea bila malipo yoyote (on part time basis though)..na siku za ijumaa full time, katika maeneo ya...
1 Reactions
6 Replies
3K Views
Out
Ndugu!!Usaili OUT vip?any details abt shortlist
0 Reactions
2 Replies
1K Views
am ready to work any where, to do anything man can do..... so wrong as it is neither illegal under our laws nor immoral.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Make Massive income from Google. No MLM, No scheme a real income opportunity. We create a website for you that will generate life income for you. Even when you in sleep or at work, your...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari wanaJF wenzangu.nimepata trainee ktk kampuni ya TICTS,natakiwa kuripoti jumatatu ijayo,nimemaliza chuo na mina Advanced Diploma in IT..naomba msaada kwa waliowahi fanya field au traineehapo...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
wana jf habari wandugu naomba mnipe dili hapa mjini pagumu kiukweli nakadgreee kangu kauhasibu wandugu mwenye shule, college, tuition center niweze kuwa hata tutorior wanamba, bookkeeping or...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Ndugu zangu kuna mdogo wangu aliomba nafasi ya kazi ya uhasibu chuo kikuu cha muhimbili,je kuna mtu ameshaitwa kwenye usaili? kwani ni miezi imepita sasa.
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Mimi ni kijana niliyemaliza kidato cha sita(feb 2012) kwa mchepuo wa HGK, shule ya sekondari Galanos, mjini Tanga. Mahali nnapoishi kwa sasa ni Moshi mjini. Lengo la kushughulisha vidole na akili...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
waliokuwa interviewed na deloitte vipi veta wameshaita? Mwanzoni kupitia jukwaa hili kuna mdau alisema wameambiwa labda february kwa sababu serikali haina fedha.kuna mdau yeyote mwenye taarifa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
JAMANI NIMEAMUA KUWAPOSTIA HII ILI TWENDE WOTE TUKASHINDANE UKO............ UKISHINDA UNISTUE UWE CONNECTION YANGU Dear All, Plain Ink is an NGO pioneering a fresh approach to...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Vacancy Notice No. ITC/PVN/01/2012 Post title: Senior Adviser, Trade Finance for SMEs Post level: P-5 Division: Division of Business and Institutional Support (DBIS) Section: Business...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
TANGAZO LA AJIRA Jeshi la Polisi liko katika mchakato wa kuajiri vijana kujiunga na Jeshi kupitia mashuleni. Tumeamua kuurudia utaratibu ambao ulikuwepo zamani wa kuajiri moja kwa moja toka...
0 Reactions
24 Replies
6K Views
kwa bachelors na wenye familia, kama unataka huduma ya kufanyiwa usafi, kufuliwa na kupasi, tupigie 0715808038 au tuma barua pepe; lcmakoi@gmail.com. tuna wasichana, vijana wa kufanyakazi za ndani...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wajameni hii maneno inasemwa kwa mtandao huu hapa ni ya kweli? Au ndo spam zile za kimtandao? GONGA HAPA Real Translator Jobs - Get Paid To Translate
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nina degree ya education ktk masomo ya CHEMISTRY and BIOLOGY nipo manispaa ya kinondoni maeneo ya external ubungo natafuta shule ya kufundisha masomo hayo kama part time teacher shule zilizo...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…