Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

JF Prefixes:

Tell me a little about yourself? • Where would you like to be in five years? Ten years? • What made you choose to apply to Area sales manager? • What have you learned...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
:yawn::yawn::yawn:
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Jamani UDOM wameshaita watu kazini kwa waliofanya oral interview? Au mwenye tetesi atujuze nini kinaendelea?
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wadau Mfanyakazi wa ndani anahitajika. Uzoefu: Two years experiance Jinsia: Msichana Elimu:Darasa la saba hadi form IV Dini: Awe mkristu anayekula mkuu wa meza Umri: 15-24years Location...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wana JF, napenda kufahamu ni makampuni gani ya ICT yanakuwa outsourced sana hapa tanzania. Kwa yeyote anayefahamu naomba anijulishe.
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wameniita kwenye interview ya Contract manager. Je, hii Contract Manager ni kwa Kampuni gani? Naomba msaada.
0 Reactions
21 Replies
8K Views
PROJECT MANAGER (Ugandan National) Montrose Africa - Kampala Supply Chain Specialists/ Consultants International Procurement Agency Africa Ltd - Kampala Human Resources Officer UNITED...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Wadau wa jamvini heshima kwenu.Mimi naishi dar maeneo ya mwenge.Nina diploma ya computer science ila tangu nimalize sjabahatka kufanya kaz rasmi kwenye fani yangu kwa hyo naomba kuwezeshwa kupata...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Ndugu zangu wenye vigezo tujaribu hapa. http://thecitizen.co.tz/jobs.html
0 Reactions
16 Replies
6K Views
We are looking to hire on a contract basis 2 construction engineers to oversee or terminal modernisation project. the project is expected to last 1.5 years. the two candidates should have the...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Wote tunatambua ya kuwa ajira ni muhimu katika maisha ya mwanadamu, pia tunatambua ya kuwa kama kijana kuishi ni muhimu kuwa na ajira hivyo ukosefu wa ajira ni jambo gumu kwa kijana, kuliona hilo...
7 Reactions
76 Replies
9K Views
Kwa wale wote wenye taaluma na wasio na taaluma yoyote napendekeza yafuatayo: 1. Tambua kipaji na mtaji wa asili ulionao. 2. Badili mtizamo wa kimaijsha. 3. Kujitambua wewe na thamani yako katika...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
machine ni mpya kabisa ipo sokoni bei ni 65,ooo$ condenser zake ni sealed ipo malawi ila kwa mtu atakayehitaji baada ya makubaliano italetwa Tanzania nimeambatanisha picha na catalogue yake...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Kampuni mpya Ipo mwenge inatafuta Binti/Mdada kwa ajili ya kuwa Secretary/ambaye ana weza ku handle customer service vema.Mshahara 300,000 Take home, Awe ame maliza kidato cha nne au zaidi. awe...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
tafadhari naomba kufahamishwa makao makuu ya eco bank tanzania yanapatikana mtaa gani?
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Natafuta kazi ya udereva gari ndogo na kubwa nina leseni class A,B,D,E kwa yeyote anayetafuta dereva namba yangu ni 0763540432
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Jamani hii kitu ya ukweli; nimefuatilia nikaona ni watu wengi wanajiunga; na kwa sababu haicost nimeona niwashirikishe wana JF mjiunge ili ifikapo hapo april tuanze kuvuna pamoja. Nimeunganisha...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
habari jf.mdogo wangu anatafuta kazi ya painting/panael&beating.anauzoefu wa 6 kwa magari ya ainazote years.elimu form 4.kwa mawasiliano.email.saidi49@ymail.com _phone 0782 990567.asanten
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Fungua attachment kuna nafasi za kazi kutoka wizara ya utumishi
0 Reactions
8 Replies
5K Views
Jamani, nimeona kwenye daily news sekretariet ya ajira imeita raia kwa ajili ya usaili tarehe 16 ya mwezi huu. nafasi zilizopo ni za Medical officer grade II, Inspector Grade II, Research...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Back
Top Bottom