Wadau wa jf kwa yeyote mwenye shule, chuo au taasisi yoyote kama mnahitaji mwalimu wa computer
aliyebobea katika course zote kwa kumaliza shahada ya ualimu kwa somo la computer tuwasiane email...
Tovuti ya www.zoomtanzania.com ambayo imekua inatoa matangazo ya kazi imekua ina ficha anuani(email) za kazi husika ili muombaji aombe! Badala yake wameweka utaratibu amboa haueleweki eti utume...
Wadau poleni na pilika za maisha ya kila siku. Nilisikia oral interview imefanyika kwa watu wa janitor wiki iliyopita, naomba kujua kwa wale walioitwa kama na wale wa post za ma-warden waliitwa...
This Thursday(16/02/12)from 5:00pm, in Dar es salaam at JB BELMONT HOTEL there will be an event entitled "Think Beyond Employment" geared to connect you with business leaders in Tanzania .Come...
East, Central and Southern Africa Health Community
Vacancy Advertisement
Post of Administration and Finance Officer
The East, Central and Southern Africa Health Community (ECSA-HC) invites...
Habari poleni na mihangaiko ya maisha. Mimi ni graduate wa Rural Development Planning kutoka chuo cha mipango Dodoma 2011, kwa yeyote mwenye kujua taasisi au shirika lenye uhitaji wa mtu wa...
Habari nilizozpata kutoka chanzo makini ni kuwa JWTZ hawatatoa nafasi mwaka huu,na hata km zikitoka ni kuanzia mwezi wa 9 kuendelea...MAJESHI yatakayotoa ni POLISI(zishatoka wiki iliyopita) na...
Tangu ajira za walimu zimetangazwa nimekuwa nikiona humu jamvini watu wakitaka kujua jinsi maeneo yalivyo huko walikopangiwa, mimi ofisi zangu ziko attached kwenye halmashauri ya Musoma Vijiji...
Hii ni kozi iliyoanzishwa mwaka 1986 katika chuo cha usimamizi wa fedha (IFM) wakati huo ikitwa social security na sasa imebadilishwa mwaka 2005 na kuwa social protection sasa lengolilikuwa kuweza...
Wadau wenzangu, Benjamini Mkapa Aids Foundation (BMAF) walitoa nafasi za kazi mwishoni mwa mwezi wa 12 kwa post ya M&E Officer. Naomba kama kuna mwenye taarifa yeyote au ata kuna mmoja wetu...
nimeiona hii mahala nimeona ni vyema nikiiweka pia humu...
EMPLOYMENT OPPORTUNITIES
Bulwark Associates Advocates, a modern and dynamic Law Firm based in Dar es Salaam, is currently inviting...
Habari zenu bandugu,
Kwa jamaa zangu wanaotafuta kazi japo mzingatie haya machache
1) Hakikisha CV yako ni fupi kwa kadiri inavyowezekana max page 2 ukishindwa kabisa 3 .Kama huwezi kuandika CV...
Bhaskaran Sareen <recruitersareen@gmail.com>
Position: Sr. Cold Fusion Web Design
Position Code: Contract
Qty: 1 Opening
Bill Rate Range: Your Best Rate
Location: New Jersey
Contract...
Ndg zang naomba mnisaidie ktk sehemu ya referees kwenye cv,eti hairuhusiwi kumuandika ndugu mwnye jina moja kma referee wko?na ni watu gani wanafaa kuw mareferee?mfano walimu wako,marafiki,mabosi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.