Natafuta kazi inayohusiana na masuala ya mazingira, ecology, tourism and the like. Nina diploma ya usimamizi wa wanyamapori. Mwenye taarifa naomba msaada.
Kwenu wanaJF najitokeza kwenu nikitafuta kazi ya udereva,ninaendesha semi na puling na magari mengi isipokuwa bus,mara ya mwisho nilikuwa naendesha gari ktk kampuni ya HASSAN Transport,ninao...
NAFASASI ZA AJIRA
TUNAAJIRI VIJANA WENYE STASHAHADA NA CHETI KATIKA FAINI ZA BIASHARA. KAZI ZIPO ZA AINA MBALIMBALI KAMA:
SALES MANAGEMENT, SHOPKEEPING, PURCHASES MANAGEMENT, STORE KEEPING , &...
Jamani hilo suala ni la kweli kabisa hata mimi nathibitisha na wala sio uzushi. Mimi binafsi kuna jamaa angu mkewe kapata wiki moja iliyopita kimyakimya....nilipata taarifa kwa mume wewe na...
Ndugu watanzania wenzangu, mim ni Graduate, nina bachelor ya computer science (BCS)..nina interest na uwezo wa kufundisha masomo ya computer kwenye shule/vyuo...kwa anaehitaj mwalimu wa computer...
Wadau nafiklia kufungua kampuni ya it........jijini dar es salaam ambayo itayoshughulika na vitu vifuatavyo
1.web designing and web hosting
2.online databack up
3.selling of computer...
MWALIMU WA KUFUNDISHA BASIC COMPUTER APPLICATIONS MS OFFICE(WORD,EXCEL,POWER POINT,MS ACCESS),BASIC COMPUTER USAGE
SHULE(KA CHUO KADOGO) KAPO TABATA KISUKURU - MAKONDE
DARASA NI LA WATU KAMA 20...
Digital Marketing Manager (San Jose, CA)
Please direct your responses to: jeannie.fernandez@experis.com
Job Title: Digital Marketing Manager/Strategist
Duration: 6 mos (renewable per...
A teacher is needed to teach acca f6 taxation. should not have less than 2 years of experience in the reletive field.
if intrested please email your cv to the following...
kuna topic ilikuwa ina sample of interview questions,naomba mwenye link hiyo anisaidie kwani kuna dogo anataka achungulie chungulie, inaweza msaidia ktk utafutaji ajira wake.nitashukuru.
helo wadau.
Naomba kuuliza kama kuna mwenye dondoo au tetesi kwa zile post za ajira zilizotolewa na serikali kupitia sekretarieti ya ajira. Ni ndani ya ufaham wangu kwamba, majina hutolewa wiki...
Hello happy people,
una organization ambayo inayo ofisi dar es salaam,
naitaji kutumia org yako kufanya project yangu.
Kama unayo ambayo imesajiliwa na ina ofisi please tuwasiliane...
Salamu wadogo zangu,kaka zangu na wengine woote wana jamii wenzangu.Nimeperuzi katika Vyanzo mbalimbali na kukuta nafasi hizi za Kazi.
NB:
1.Apply Haraka kwakuwa zingine deadline yake iko...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.