Hifadhi ya taifa ya mikumi ilitangaza nafasi kadhaa za askari wanyama pori kwa wenyeji wa mikumi na vijiji vinavyo izunguka hifadhi hiyo kama ujirani mwema kupitia kwa afisa mtendaji wa kijiji...
Wadau naomba mawazo yenu hapa nyumbani nilikuwa na wadogo zangu waliokuwa wanakaa na huyu mwanaetu wa miaka 5 aliyeanza shule sasa na kusaidia kazi za nyumbani lakini kwa sasa wameenda kusoma...
hey jf team mmbrs! naomba kuuliza hivi kwa mwl anaeanza kazi kama mimi (degree holder) basic na take home ni shiling ngapi kwa tz ili nianze namna ya kujipanga mapema!
ASANTE! KWA MSAADA WAKO!!
Ni kweli wengi tunatafuta kazi, lakini ni muhimu kujua kama kweli tunazihitaji kazi hizo, vinginevyo kazi hizo zitageuka KUWA LAANA kwetu! Nina ndugu yangu ambaye alikaa muda mrefu bila kazi...
serikali kila siku inalalamika uhaba wa walimu, mi mtazamo wangu watu wengi tumemaliza vyuo na tuko mtaani tunasota hatuna kazi. Kwa nini serikali isifikiri kutoa training fupi kwa graduate wa...
mara nyingi huwa napata hili wazo, watu wengi hasa watoto wa wakulima tusiokuwa na marefa tumemaliza vyuo bila kupata kazi, na serikali kila siku wanalia uhaba wa walimu, kwa nini wasitangaze basi...
Kabla ya yote mimi ni mdau mpya kwenye JF,NAWAPENI HI WADAU WOTE WA JF
Mimi ni dentist,naombeni wadau wote mnipe mchongo inakuaje coz kuna wadau ambao wanauelewa mkubwa kuhusiana na masuala...
Wakuu nimekuwa nikiwatafutia kazi jamaa zangu kupitia nafasi za kazi zinazotangazwa humu JF. Lakini mara nyingi nimeshindwa kuelewa baadhi ya kazi zinazotangazwa humu hasa kutoka Zoom Tanzania...
WASWAHILI HUSEMA kizuri
kula na nduguyo, kuna hii project inaitwa wazzub, wengine mtakuwa mmeshaisikia,
hawa watu wanatengeneza content management system ambayo itasheheni
vitu na websites
(mfano...
Wanatakiwa haraka sana watu wenye sifa zilizotajwa kwenye mada hapo juu. Maelezo ya ziada ni:
- Awe amemaliza chuo au college katika fani hizo.
- Awe mkazi wa IRINGA, MBEYA, MTWARA na MWANZA
- Si...
Habari zenu wana jf, naombeni sana mwenye kuelewa au mwenye huo waraka anisadie sana nahitaji sana kinachozungumziwa ndani ya huo waraka!! Ni muhimu sana naombeni msaada wenu wadau.
Hivi wizara ya afya inampango wa kuajiri wahitimu wake au ndio changa la macho mwenye taarifa maana hadi sasa yametoka majina 1166 au ndio wanatosha hao
Jambo!
Wana JF, heshima kwenu! Napenda kupata details za hii kampuni ya Uniliver (I know its a multinational company) especially range ya salary zao na mabenefits mengine? Pia mazingira ya kazi...
Sina hakika kama nimekosea ila nilikuwa nafanya kazi ya ku-shortlist watu nikagundua madhaifu mengi ambayo naona sii vibaya nikayasema.
1.KUTOFUATA MAELEKEZO NA REQUIRED QUALIFICATIONS.
Ni...
kwa wale waliopeleka application zao NIC nasikia zilikua zinawekwa ktk dustbin,ivyo inakuaje mtu amesoma zaidi ya miaka kumi shule alafu chet chake anakitupa ktk dustbin kama akijui alaf anasema...
1.Cananon
2.Loquociiso transibusthiaon
3.Sea shell is sea shole liiuqusisionox
3.No Thanks i don't want to have sex.
Naomba mnisadie na maneno mengine.
Serikali imetoa ajira kibao za kilimo, ualimu na bado manesi. Lkini ukiangalia kwa undani utakuta vigezo vingi sana vimeangaliwa kwenye kutoa hizi ajira. Watu wengi sana wameachwa.
Mfano mdogo...
Kwa mwl shahada aliye tayar naomba tubadilishane kituo ie.Muleba District atapangiwa shule nzuri tu ya A level mazingira ni safi huduma zote za jamii zipo!..ni PM
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.