Wakuu kama wote tunavyofahamu, juzi Jumatano majira ya saa 3 hivi usiku Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi ilitoa orodha ya Walimu waliopangiwa kwenye vituo vipya vya kazi. Ni jambo jema sana...
Wadau wenye ndugu ambao wanauwezo wa kuendesha magari watume maombi yao . Kuna nafasi nane za kujimwayamwaya
Angalia Daily NEWS ya leo utapat vionjo vitakavyokufanya utume maombi yako
karibu sana
nina bsc. agriculture general (SUA 2006) na masters in intellectual property (Africa University,zimbabwe 2010) nimeomba kazi wizara ya kilimo na kwingine kila nafasi zikitoka sijabahatika kupata...
nina ndugu yangu ana BSC.Agriculture General toka SUA,ana upper second na ana masters in intellectual property Rights toka Africa University (zimbabwe) anaweza kufundisha intellectual property...
Kwa wale wenye shahada,Stashahada,astashahada(msingi) mnakaribishwa NYARUBANDA HIGH SCHOOL,
1.tuna olevel na alevel
2.pia kuna shule ya msingi
3.barabara rami tu,mwendo wa nusu saa kutoka town...
NEW ESTABLISHED NGO IN TANZANIA
ASSISTANT ACCOUNTANT- HEAD OFFICE:DAR
- ADV -DIPL IN ACC/BCOM ACC
- TALLY ACCOUNTING PACKAGE. IT MUST BE OBTAINED FROM RECOGNIZED INSTITUTION
-EXPERIENCE ITS NOT...
office administrator anahitajika awe na experience ya mwaka mmoja,awe na knowledge ya Accounting au Business Administration.kwa anayehitaji kazi tuma cv yako kwa jobsatjob@gmail.com
Jamani nimemaliza chuo cha Singida health laboratory assistant natafuta part time Dar es salaam please anayefahamu nazani mnajua wizara ya afya ina migogoro ya madaktari hivyo ajira kapuni kwanza...
Jamani mwenzenu nimemaliza Chuo mwaka jana mwezi wa 7. Nahitaji ajira inayohusiana na Law, Administration, Customer care, Policy Advocacy, Human Resource n.k. Anayeweza kunisaidia tafadhali namba...
Wana Jf,mimi ni miongoni mwa wale waliokosa mikopo ya kujiunga na elimu ya juu mwaka jana. Nilipangiwa chuo lakini sikupata mkopo,na kutokana na uwezo mdogo wa wazazi sikufanikiwa kujiunga na...
Habari wakuu wanaJF. Niwapongeze walim wote waliopata vituo vya kazi na niwatakie kazi njema. Nina ombi jaman kabla ya kwenda huko mlikopangiwa mtushike mkono na mtupeleke pale mlipokuwa mnafanya...
wana jf wenzangu nakerwa na tabia ya baadhi ya waajiri wanaopiga simu. Unakuta ni mishare ya saa nne na nusu asubuhi unapigiwa cm kama hii. Nanukuu "haloo naongea na flani?napiga simu kutoka...
Wanajf;
msichana wa kazi anahitajika na sehemu ya kazi ni mwanza mjini. Kama kuna msichana unamfahamu mwenye tabia nzuri na anahitaji kazi za ndani basi tuwasiliane kwa pm ili nimwelekeze ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.