Wana JF!
Hivi ni kweli kuwa kuwa ukosefu wa ajira hapa kwetu Bongo unasababishwa na mfumo wetu duni wa elimu ambao bado unazingatia na kusisitiza zaidi kazi za kuajiriwa na za ofisini licha ya...
ilikuwa tar 7.mwez ulopita baadh ya ndugu na rafik kibao walifanya interview kwenye hili shirika,then vp kuna m2 ana detailz zozote juu ya zile chance pale?je washachukua wa2?
WIZARA ya Kilimo, Chakula na Ushirika imetangaza nafasi 574 za kazi katika fani mbalimbali zinazohusu sekta ya kilimo na idara zake.
Nafasi hizo zinawalenga watu wenye sifa mbalimbali ikiwemo...
We are looking for some experienced developers with knowledge on Perl or Java or C++ or Oracle or PL/SQL. If you are the one and interested please email us at info@softlink.co.tz
Various Academic, Administrative and Technical Staff at Nelson Mandela African Institute of Science and Technology (NM-AIST) in Arusha 09-12-2011
Mobile Application...
salaama watu wa Mungu.
napenda kutoa ushauri wa bure kwa job seekers wote jinsi ya kuandika application na Cv zao.
kwanza hakikisha unataja post unayo omba au kama haijatangazwa sema...
Ebu wana jf nipeni ushauri kwan nimeamua kuresign kaz niliyonayo kwani nalipwa laki 2 tu then mafanya kazi more than 14hrs without overtime ni kampuni ya wahondi then ukizingatia mi ni graduate wa...
Natafuta baby sitter wa kike atakae kaa na mtoto mdogo wa kike mwenye umri wa miezi sita kuanzia saa moja na nusu asubuhi hadi saa kumi na nusu jioni.
Kazi ipo Dar es salaam, UDSM
Hatofanya kazi...
Binafsi huwa sioni logic ya kuficha Mshahara wakati wa kutangza kazi, mi naona iwe inawekwa wazi tu watu waote wajue. Maana unaweza ukakosa watu wazuri kwa kutokujua mshahara utakuwa shillingi...
Savannas Forever Tanzania Employment Opportunities
Savannas Forever Tanzania (SFTZ) is a Tanzanian charitable non-governmental organization (NGO) founded in 2006. SFTZ is a research and...
NAFASI YA KAZI.
Km umejizatiti kielimu upande wa Masoko/Mauzo (Marketing/Sales) na unajiamini sana katika nyanja hii, na kwamba una uwezo wa kushawishi na kuuza, una uzoefu huo na upo tayari...
AFRICAN BARRICK GOLD
Position1: Human Resources Superintendent
Education/Qualification: A Masters degree in business Administration, Human Resources Management Social Science
Position1: Senior...
AASSISTANT LECTURER (BUSINESS LAW)
Qualification: Holder of degree or its equivalent in the relevant field (Business Law)
Apply: Secretary,Public Service Recruitment Secretariat
Box 63100, Dar...
hello wadau
kwa aliyeziona nafasi ya research assistant iliyotangazwa na gazeti la The guardian news paper la tarehe 5 pls naomba anitumie description zake