kumekuwa na katabia ka waajiri walio wengi hasa wa mashirika/taasisi ya serikali kudai mwombaji aweke picha (mara nyingi picha moja au mbili) pindi wanapotangaza nafasi za kazi kwenye vyombo ivyo...
Naomba ushauri na muongozo katk hili. Mimi niliajiriwa km mwl. Wa shule ya msingi(gvt) na kuamua kujiendeleza hadi kufanikiwa kumaliza shahada ya uhasibu mwaka 2011,lkn ktk kipindi chote hicho...
The Overseas Student Scholarship Fund is open to students living outside the European Union and the European Free Trade Area, who are liable to pay overseas tuition fees and whom the University of...
HONGERA!KIBACHA COMPUTER TRAINING CENTER IMEKUCHAGUA KUINGIA KATIKA SHORT LIST YA WATU WATAKAO FANYA INTERVIEW TAR 1/12/2011.Baada ya kufanya uchambuzi wa kina, wewe umukua miongoni mwa watu...
Habari wanajamvi?
Nimetokea kupapenda sana Dubai,Singapore na Malaysia na ninatamani kufahamu kuhusu upatikanaji wa kazi huko.. Nataka kufanya application ya kazi huko..
So, mwenye information...
habari, me nmegraduate sheria juz juz tu, nlwah kusikia tetesi kwenye daladala kwamba vodacom pale mliman city kuna nafasi za kumwaga za customer care ila wanalipa mshahara mdogo, jaman kwa mwenye...
AIRTEL EMPLOYMENT OPPORTUNITIES
airtel is the 5th largest telecomms Company in the world. In Africa, airtel has over 42 million customers and aims to attract more than 100 million customers...
Jaman naomba mnijuze kwa yeyote mwenye taarifa, kuhusu zile tempo za NHIF, tulizofanyia Interview pale Kurasini - Ukumbi wa baraza la maaskofu, maana It's almost a month now tangu tufanye hiyo...
UMOJA FOR YOUR CONVENIENCE
Position1: Finance manager
Education/Qualification: At least a bachelor degree
Position: Operation manager Education/Qualification: At least a bachelor's
Position...
Natafuta kazi ya afisa mikopo katika institution yeyote au mabenk, ninao uzoefu wa kazi hiyo kwa miaka miwili, ninajua kusoma na kuandika kiswahili na kiingereza vizuri. Ninao uwezo na uzoefu wa...
UDOM wameanza kuita watu kwa ajili ya Oral Interview, wameanza na madereva, list ya majina ipo kwenye website ya chuo The University Of Dodoma. ila kwa watu wa Accounts walishaajiri na watu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.