JOB VACANCY
Auguster is a medium size company in the merchandise of Compact CDs, Films, and stationeries. The company is credited of quality products, competitive prices, timely delivery and...
Wana JF nawaomba aliye na tangazo la kazi zilizzotangazwa na wizara ya mifugo kwenywe gazeti la dailynews la tar 18 11 2011 aniamie nashida ya kuaply kazi hizo,au mwenye kuwa nalo anitumie private...
Asalam aleikhum waungwana ! leo The only naona nibadilishane nanyi juu ya hili.
Ni wazi hali ya ajira kwa sasa ni ngumu unaweza tuma barua 100 usijibiwe hata moja na ukijibiwa ni kukushukuru kwa...
Naombeni msaada kwa anayelifahamu shirika la Fhi lilipo hapa dar. Nafahamu tu liko oysterbay, lakini sifahamu exctaly location. Naombeni tu mnielekeze. Asanteni wana'jf
kwa wale unaojua michongo yoyote ya kazi za udereva mnijuzo,kama vile mining area,NGO au kutoa magari bandarini kupele nchi za Rwanda,Burundi,Zambia,Congo n.k,nina Class C,NIT grd two...
Director of Health Programs-Africare Tanzania at Africare Tanzania in Dar Es Salaam
Coordinación de País- Tanzania at Médicos del Mundo - España in Dar Es Salaam...
Kama kuna mdau anayehitaji kazi ya mechanical engineer , awe na degree ya mechanical engineer,,kaujuzi kidogo,,,ani pm .......hii ni serious na kazi ipo,,,sio uswahili........salary 1,000,000/=
Wadau,nasikia wizara ya afya ina nafasi za Nutrition Officer katika baadhi ya wilaya,mwenye taarifa kamili naomba anijuze na kama ipo deadline ni lini? Pamoja JF
waungwana naomba kwa mwenye habari ya kuaminika anisaidie kunijulisha juu ya ajira kwa walimu wa sekondary ni lini? Pia naomba mwenye kuweza nisaidia kupata shule ya kufundisha hapa mjini...
Mwenye kujua mchongo wa kazi anijuze kwenye NGO,Mining areas,Kutoa magari yanayoingizwa nchini kwa ajili ya kupelekwa Rwanda,Burundi,Zambia na congo n.k,nina Class 'c',NIT grd two...
Wasalaamu...Ndugu wana Jf naomba tusaidiane,kuna jamaa yangu yeye ana elimu ya kiwango cha Masters...lakin kutokana na uhaba wa ajila alitumia cheti cha degree kupata kazi...amepata na anaendelea...
AGA KHAN FOUNDATION
COUNTRY MANAGER, TANZANIA
The Aga Khan Foundation is a private non-denominational development agency promoting creative and effective
solutions to problems that impede...
Bank of Tanzania Employment Opportunities
The Bank of Tanzania, an equal opportunity employer and Tanzania's central bank, is
looking for suitably qualified Tanzanian citizens of high...
Wadau, mi ni mass communicator na public relation officer ambaye nimegraduate 2010 na nimeshatuma maombi ya kazi sehem kibao but sijawahi iitwa kwenye interview wala kupata feedback yoyote, ingawa...